Recent content by M16_kwaoz

  1. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Ila kwa hawa wezi mmmh
  2. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Hahaha..ningepata mtu kazi mwenye dawa hiyo ingekuwa vyema sana
  3. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    😁😁shukrani,nitajaribu kufanya hili nalo nione matokeo yake
  4. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Sawa mkuu..shukrani kwa wazo lako pia.
  5. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Eneo la tukio kupata nyayo ni ngumu kwakuwa nimefika na kukuta wamevunja mlango na eneo lina nyasi fupi fupi.
  6. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Nimefanya hivyo mara kadhaa ila sikufanikiwa
  7. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Kiukweli nimeshajaribu hii mara kadhaa lakini haikufanikiwa pia
  8. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Shukran..nitajaribu hapo nione nitachoambulia.
  9. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Samahani mkuu,naweza kumpata huyo mzee?
  10. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Shukrani mkuu..ingawa kwa nature ya eneo ilivyo,camera inaweza isiwe msaada mkubwa sana kukomesha wezi..kuhusu kuweka mtu wa kuishi hapo,walishakuwepo zaidi ya watatu na bado matukio hayajakoma.
  11. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Nimeandika mbinu kadhaa hapo nilizotumia bila mafanikio..nisaidie hiyo altanative
  12. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Natamani mbinu hii ingefanya kazi
  13. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Dah...nashindwa kuwa na mbinu mbadala hadi sasa ndo maana unaona natapatapa mkuu.
  14. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Wezi wananifilisi

    Habari wanajamvi... Kwamuda wa mwaka na miezi kadhaa,nimekuwa nasumbuliwa na wezi kuiba kwenye sehemu ninapofanyia shughuli zangu za uzalishaji wa kipato cha kila leo. Ninafanya shuguhuli za bustani ya mazao ya kilimo haswa michikichi na miti(matunda) na ya kawaida..Wezi wamekuwa wakiniibia...
  15. M16_kwaoz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hatufeli bali tunajifunza kwa kila jambo.
Back
Top Bottom