Recent content by M production

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Rais akiendelea kufikiri yeye ni Mungu basi Mungu atasitisha maisha yake kabla ya 2020

    Unaelewa mtu akisema "UKIJIFANYA WEWE NI MUNGU BASI HUFIKI MBALI" Mungu ni mmoja tu,,na ukijifanya wewe ni Mungu lazima yatokee yakutokea.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli huyu wa kwenye mitandao ya kijamii ndio huyu huyu anayesifiwa mitaani?

    HALITA ISHA NA NDIO KISINGIZIO CHENU.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Hivi vita vya Prof. Lipumba na idara za hamasa za CCM dhidi ya CUF, mwisho mshindi ni CUF

    Julius Mtatiro ameandika hivi: Prof. Kitila na wenzako. Sisi sote ni watu wazima na kila mtu ana uzoefu na akili. Itoshe tu kusema kuwa tatizo la CUF litashughulikiwa. Hata kama Msajili, Dola, ACT, CCM watakuwa nyuma ya Lipumba, CUF itashinda vita hii. CUF ingelianza kufanya mambo ya kihuni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gharama za safari ya Lowassa Bukoba ni kubwa kuliko mchango aliotoa (mifuko 400 ya saruji=6M)

    Kumbe mpaka tuchange. Mfuko wa maafa upo busy na shughuli zingine. Bora hata aliyejitoa na hakusubiri michango.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

    Hata wale wajana sio wa CUF utaona watakapo ishia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani wamhofia Dr. Magufuli

    Unafikiri miaka hii watu wanachagua mbunge kwa utendaji wa rais? Watu wanaangalia mtu Mwenye utashi wa kuhoji na kudadisi mambo na mwenyekuwa na plan B. Na sio wakuitikia kila kitu ndiooo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai afunguka, aahidi kukaa chini na UKAWA

    Uko sahihi kabisa, yani ni ngumu kufanya tofauti na aliyekuteua. Watu wameshasahau zile siku mbili za mikikimikiki, unavua uana sheria asubuhi, unateuliwa kuwa mbunge na kabla huja apa unachukua fomu na jioni unakuwa Naibu Spika, hii weeeeengi wameshaisahau inabidi kuwakumbusha.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Tanganyika Law Society na hatma ya Demokrasia nchini

    Kwani chama kinahitaji NGO's au kinahitaji wananchi ambao ndio wafuasi? Mimi nadhani chadema inajivunia nguvu ya uma na sio NGO's ndio maana mkuu wa kaya hataki chadema wakutane na hao wafuasi wao kwasababu wana nguvu kuliko NGO's
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Chombo cha Habari kitakachoripoti habari ya kichochezi kitahesabiwa kuhusika na uchochezi

    Zamaaaaaani kuna mtu aliwahi kusema, wataanza na wanasihasa wa upinzani, watakuja kwa mawakili, kwa waandishi wa habari mwisho kabisa kwa wananchi. So we just wait labda tutanyooooka kama wanavyosema. NAPATA KIGUGUMIZI KUIOMBEA NCHI YANGU NA VIONGOZI WAKE HUWA NA HAIRISHA MARA KWA MARA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya "tishio la kumzuia mitandaoni" Tundu Lissu aibuka tena na "kijembe" kwa Serikali

    Itatumika hiyo hiyo katiba kumrekebisha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo (Mzee wa upako): Wabunge ni viburi, hawasikii

    Kama umeamua kulileta jambo flani kutoka chanzo kingine, basi wasilisha vizuri, usiwe unaficha baadhi ya vitu kwa manufaa yako. Tunakushangaa kwasababu tulioangalia hicho kipindi tumegundua kwamba wewe si muwasilishaji mzuri.
Back
Top Bottom