Ukiwa mtanzania inatakiwa ifike kipindi ujifanye kama mjinga ilicku ipite tu pongezi zinzenda kwa bosi kazi kafanya secretary wajalibu kukumbuka michango ya watu pole Johari
Kama wanawake mbona watu wanamwagana deile kitaani so diamond kufanya ivyo ndio iwekesi kama hamuelewani uendeelee kumkomalia mtu ongelea kazi yake mahusiano yake pembeni yule ni mtoto wa kiume so mambo ya wanawake mwachie mwenyewe
Mmmmh Jamaaa bwana so unafanya comparison sio kiiivyo Kiba ajipange sana waliomshauri ajitambe kuwa kaja kumfunika diamond ndio walimkosesha step lakini bado ajachelewa ajipange
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.