Ila Police, TCRA na mitandao ya Simu bado wanao uwezo wa kui trace. Hiyo simu aliyoitumia waweza waka trace IME yake, waka trace anawasiliana na akina nani wengine(rafiki, jamaa ama ndugu zake wengine). Pia kwa kupata EMEI ya Simu husika wataweza kupata namba ya lain nyingine tu pindi...
Hii nadharia ina sound sana na ni very logic. Kama walivyofanya Mo Dewji... Baada ya kupigiwa kelele sana juu ya utekaji na mauaji mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea wakatafuta mtu maarufu/tycon ili kutengeneza drama na lengo lilikuwa sio kumdhuru wala kupata chochote kutoka kwake(pesa) ila tu...
Daah....! Kila kitu mungu. Mungu ametupa afya njema, ametupa utashi wa kutambua baya na zuri, Haki na batili. Anyway Tanzania itakombolewa siku hiki kizazi Cha machawa na waoga kitakapofutika hapa duniani... Yaan hebu fikiria mtu amekuja akaanza kukutukana mbele ya mke wako na watoto wako...
Shida sio kuuziwa taarifa. Hawa jamaa wazinguaji kinoma..., matapeli balaa. Kuna kingine kipo singida kinaendeshwa na dada ake na mwenye chuo hiki. Kinaitwa city college wamepangisha pale jengo la walimu(cwt) mitaa ya mwenge. Ni matapeli kinoma. Wanakupokea ukitaka kusoma kozi yeyote hata kama...
TBS kwa kushirikiana Wizara afya wa confirm tu kwamba mzigo upo salama kiafya, upelekwe palipo dhamiriwa. Tusilete Mambo ya siasa huku hatujiwezi. Huko Vijijini wakuu wa shule na wazazi wanavutana kila siku juu ya kuchangishana mahindi kwa ajili chakula cha mchana Cha watoto wakiwa shuleni...
Advanced diploma ilikuwa inatolewa zamani vyuo vya kati. Na ilikuwa inachukua miaka 3. Na ilikoma 2010. Higher diploloma(NTA LEVEL 7) inatolewa mpaka sa hv na vyuo vya kati ambavyo vipo chini ya NACTE na miaka miwili(2) na mara nyingi hupatikana in kesi mtu ameshindwa kukamilisha degree (NTA...
Kurudisha cheti Cha higher Diploma Ili upewe cheti Cha ordinary diploma. Kwa akili za kawaida unaona inawezekana? Au unajibu kisa tu umeshiba na umevimbiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.