Dar es salaam kukaa siku 9 bila maji ni mtihani mkubwa sana sijui dawasa wanatuonaje sisi wakazi kimara kukaa siku 9 bila maji hata ile ratiba mgawo haina maana watu wanahangaika kupindua madumu Lita 5000 kuangalia unafuu kupata maji hata kuoga.
Toa ushahidi au maoni kwa Tume kuhusu matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi mkuu kwa SMS/WhatsApp: 0743 040890 au kupitia https://tume.uchunguzi.go.tz
CCM ni mojawapo Chama kizuri na kinapendwa na watanzania kimeshika madaraka zaidi ya miaka
60 yaani bado miaka 40 kitimize miaka 100 nasema kidumu chama cha mapinduzi na mapinduzi yapo CCM
Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
Hawa watu tunawachungulia wa kawaida sana lakini ni watu muhimu katika mifumo yetu iwe taasisi mbalimbali na wanajua taarifa zetu wakiamua kutoa siri zetu hawashindwi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanajua hadi kwenye simu yako uwa unachati na nani.....? Nani mchepuko wako.....?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.