Recent content by M-36

  1. M-36

    JamiiForums Tanzania Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Madhara yakuokota mtaani pasipo System kujiridhisha....! Je Kuna umuhimu gani kuleta habari hizi JF?.
  2. M-36

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kanali Fabian Massawe, aliyekuwa RC Kagera afariki dunia

    Ulinitabiria mengi na kunipa nafasi ya kulitumikia Taifa langu hakika ulikuwa kiongozi mzuri (PUMZIKA KWA AMANI KIONGOZI WETU).
  3. M-36

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Kwanza hujui lolote kuhusu H.E Robart Kyagulanyi Ssentamu, hata mziki anaofanya kausomea ndo maana alikuwa anapata project's na WHO kwenye issue za kuokoa maisha ya Mama na Mtoto Kwahiyo jamaa yupo smart kwenye medulla. Pili siasa nayo kaisomea ndo maana ameweza ku-win game na mtu ambae ni...
  4. M-36

    JamiiForums Tanzania Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

    Jamani pigeni kazi huku mkitanguliza Uzalendo mbele Over...! Sijuhi Ndugai kakosea hizo story acha haraka sana.
Back
Top Bottom