Recent content by Lyokambako

  1. L

    Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    Uchambuzi wa KUJIMWAMBAFY Asili ya neno ni mwamba Mwamba mtaani ni mbabe au mtemi KUJI...ni kujidai, kujifanya na huwa sifa hio huna FY kwa utafiti uliofanyika kwa lahaja za Tz miaka 200 ina maana HATA KUIGIZA HUWEZI So Kujimwambafy maanake: KUJIDAI UMWAMBA WALA HUUWEZI
  2. L

    Kwa hizi barabara za lami, maji nilivyoviona Yombo Vituka, Dovya, Kilakala, Magufuli ni noma. 2020 wapinzani msije kwenye kampeni, Magufuli anatosha

    Hi Hizi barabara zipo chini ya msaada wa World bank akishirikiana na local government! Project hizi zilianza Toka enzi za mkwere ! JPM kazikuta ...Mbeya na Arusha tayari
  3. L

    Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola: Halmashauri ya Ilala/ TARURA mtusaidie

    Toka huyu chapombe ahamie huko barabara ndiyo imezidi kuwa mbovu Bora alipokuwa upinzani....hakika Hali Ni mbaya Sana kwa hi barabara! Kama wameshindwa lami waweke changarawe na mitaro ya maji tu.
  4. L

    Ukimwona CAG tambua wapo wasomi nyuma yake

    Safi mkuu naona umeamua kuja kujipigia debe baada ya kuona sifa zote anapewa bosi wako tu....Tunashukuru mmepiga kazi iliyotukuka[emoji7][emoji106]
  5. L

    Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

    Q We jamaa muongo Sana Vumbi la Kongo linazuia kukojoa haraka Sasa huyo na mabao 13 wapi na wapi???? Kwa wasio jua Congo Dust kazi yake Ni kukipiga ganzi kichwa Cha mboo ili usikojoe haraka haihusiani na mboo kusimama Kabisaaa..
  6. L

    Lipumba aonja joto ya jiwe la ACT-Wazalendo

    Tena huyu Lipumba atapewa wabunge kibao wa kupiga vinaubi
  7. L

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Mkuu haya majamaa yamemezeshwa Cha kuongea Kama robots tu ukijibishana naye unapoteza Muda to hawezi toka nje ya box
  8. L

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Yaani ukisoma hizi post za hii mijamaa inayounga mkono juhudi unaweza utukane aiseee yaani utumbo mtupu wacha niende celebrety forum🏂🏂
  9. L

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Si keshawataja kamanda na ndiyo hao Lisu anawataja kwenye vyombo vya habari au unataka awataje akina Nani mkuu?
  10. L

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Hapa ndiyo akili yako ilipotua??? Wekeni wazi zile CCTV camera mtaona wote walirusha risasi na walinzi wa pale getin nadhani wangekuwa rumande Sasa Hivi kuisaidia police nyie mmewaficha halafu unakuja kuleta utumbo hapa eti dereva....ukiacha akili za kupewa hebu tumia zako uone dereva anahusika...
  11. L

    Haji Manara: Simba siyo baba wala mama yangu

    Mikia banaa Sasa kosa la De la Boss ni Nini??? Mashabiki wa Simba wote ni Mbumbu...(ref: Rais wa Simba Rage) Sasa mbumbu atashika simu gani??? Hata hiyo ya 70k kawabeba Sana angewaambia ya 15k🤣🤣🤣
  12. L

    Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

    Yupo hai anafanya kazi Bogos Music kwa presidaa Nyoshi El Saadat
  13. L

    Baada ya Kujifanya ' anakosoa ' sasa Mwandishi huyu ' amejirudi ' kwa kuwa ' typical sycophant ' ili Nduguye amteue Kisiwani Puerto Rico

    Very true kaka wengi humu hawamuelewi Pascal Mayalla ukitaka kumuelewa huyu jamaa post zake Soma kwa jicho la tatu ukikurupuka hutamuelewa....Mnafiki ni mwanakijiji
Back
Top Bottom