Recent content by lyimorose

  1. L

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuta kesi ya jinai.

    Ukisoma hizo sections zitakusaidia ni nini cha kufanya. Lakini kimsing kuna options mbili, either uiombe mahakama kufuta hiyo case au kudefault appearance ambapo mahakama yenyewe itadismiss hiyo case
  2. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania wangapi wanaijua hii sheria kuhusu kupimwa na Daktari ukiwa chini ya ulinzi

    Jamani mimi nadhani mtoa mada nia yake ni njema kabisa. Ni hivi ili mtu aweze kuchukuliwa specimen kisheria kuna utaratibu kama hicho kipengele kinavyoeleza na taratibu hizo zinapaswa kufuatwa. Sasa zisipofuatwa advantage itakuwa kwa mtuhumiwa, wakati ushahidi huo utakapotolewa mahakamani...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la ardhi la kata na shauri la mirathi.

    Mimi sidhani kama ni shauri la mirathi maana wanachokidai wao ni ardhi. Cha muhimu kwa kuwa ulipewa mbele ya kikao cha ukoo ni vema ukawaita wakiokuwepo watoe ushahidi kwamba ni kweli ulipewa shamba hilo na marehemu. Ikithibitika hivyo basi hilo shamba halitapaswa hata kuwa sehemu ya mali...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nini adhabu ya kufanya biashara bila lesseni

    Kwa mujibu wa sheria ya leseni za biashara ya mwaka 1972 sura ya 25 kifungu cha 17 adhabu yake ni faini au kifungo cha miaka 2 au vyote kwa pamoja.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Namdai mtu pesa na mahakamani tumefika lakini hukumu inachelewa

    Ukimstaki kwakosa hili inakiwa ni kesi ya jinai na siyo madai. Kesi ya jinai hukumu yake ni adhabu ya kifungo hivyo mdaiwa ataishiwa kufungwa na mdai hatapata chochote.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Namdai mtu pesa na mahakamani tumefika lakini hukumu inachelewa

    Ushauri wangu ni kwamba kwa kuwa shauri limehairishwa zaidi ya mara tatu na bado mdeni wako haleti shahidi, iombe mahakama iendelee kwa sababu hakuna reasonable expectation ya huyo shahidi kuja kutoa ushahidi kama ulivosema. Zaidi ni kwamba endapo utashinda kesi, hukumu itakupa nguvu ya kulipwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria zinazohusika

    That is for 2.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sheria zinazohusika

    1. Employment and Labour Relation Act
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taasisi 5 zinazotetea Haki za Binadamu

    1. Legal and Human Rights Centre(LHRC) 2. Tanzania Human Rights Defenders Coalition(THRDC) 3. Tanganyika Law Society(TLS) 4. TAWLA 5. Envirocare
  10. L

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kwa mwanamume anayeishi na mwanamke ambaye hajachika kwa talaka bado

    Ni adultery, anaweza kufunguliwa madai na pia ni grounds nzuri ya kudivorce.
Back
Top Bottom