Recent content by lydiah

  1. lydiah

    Bero za viatu vya mtumba classic vinahitajika

    habari zenu wakuu! Mimi nipo zanzibar nataka kuanzisha biashara ya viatu vya mtumba tena vile classic vya kike ila sijajua wapi ntapata mabero ya viatu . Wenye uzoefu tafadhali tujulishane.
  2. lydiah

    Sisikii hamu ya kula na siumwi chochote, tiba ni nini?

    Yaan tatizo kama langu sometimes najilazimisha naishia kujaza chakula mdomon tuu. Hamu haipo kabistable d nimepata vidonda vya tumbo
  3. lydiah

    Wauzaji wa CD kwa jumla tukutane hapa

    Mawazo yako tuu
  4. lydiah

    Wauzaji wa CD kwa jumla tukutane hapa

    Nataman sana kujua wale wauzaji wanazitoa wap izo cd maana na me nataka kuuza jumlaa
  5. lydiah

    Wauzaji wa CD kwa jumla tukutane hapa

    Habari za majukum u wadau, katika pita pita zangu mitaani nikagundua watu wa ili eneo niliyopo wanahitaj kubwa sana wa cd za bongo movie na zilizotafsiliwa so nataka nifungue library ili iweze kusukuma siku Ila sijui wap pa kuanzia maana nahitaj wasambazaj wa cd kwa jumla maana me nipo...
  6. lydiah

    Printing

    Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ; Tshirts Uniforms Calendars Business Cards Flyers Brochures wheelcovers Delivery note Invoice book receipt book. na mengine mengi tunatengeneza vitabu vya NCR na kawaida na pia vitabu vyenye wino wa rangi moja n...
  7. lydiah

    Boresha biashara yako na bidhaa nzuri za printing

    Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ; Tshirts Uniforms Calendars Business Cards Flyers Brochures wheelcovers Delivery note Invoice book receipt book. na mengine mengi tunatengeneza vitabu vya NCR na kawaida na pia vitabu vyenye wino wa rangi moja n...
  8. lydiah

    Printing services

    Habari zenu wakuu, ningependa kuwashirikisha huduma ninazotoa ni pamoja na ; Business Cards Flyers Brochures wheelcovers Delivery note Invoice book receipt book. na mengine mengi tunatengeneza vitabu vya NCR na kawaida na pia vitabu vyenye wino wa rangi moja n hata rangi mbili. kwa maelezo...
  9. lydiah

    Dalali wa nyumba

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya shekhilango na yaan nyuma ya ubungo plaza na ubungo terminal. budget yang ni elfu hamsin na kulipa kwa miez mitatu mitatu.
  10. lydiah

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya shekhilango na yaan nyuma ya ubungo plaza na ubungo terminal. budget yang ni elfu hamsin na kulipa kwa miez mitatu mitatu.
  11. lydiah

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mzima anafata nini milembe?
  12. lydiah

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wap naweza kupata smart TV curved HD?
  13. lydiah

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mchezo mzuri huchezwa na wengi
  14. lydiah

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Chembe tuu nichelewe kikao kwasabu ya mwendokasi
  15. lydiah

    Sinto sahau

    Duh
Back
Top Bottom