Recent content by Lyangaulo

  1. L

    Ushauri: Natafuta field, nasoma Electronics and Telecom

    Mimi pia ni mwanafunzi hapo Dit nasoma umeme mwaka wa 3 unaweza peleka bandarini,airport,kwenye makampuni ya simu,vituo mbalimbali vya redio na television n.k wahi tuma barua yako mapema
  2. L

    Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

    Hiyo ndo serikali ya tanzania bwana ni kweli ajira za walimu hakuna mwaka huu"Pinda kapinda kweli"
  3. L

    Ujumbe kwa wanafunzi wa vyuoni

    Saddyy uko sahihi kabisa 100% niko DIT mwaka wa 3 pia najishughulisha na michakato mingine ya kutafuta pesa kama kuuza pembejeo za kilimo n.k
  4. L

    Serikali yafuta ajira za walimu mwaka huu

    Hii ndo nchi ya ahadi kila kitu hovyo kabisa
  5. L

    Dr Slaa Atoa Tamko Juu ya Kutangaza Mali Zake!

    Uko right mkuu Zzk kazingua,,!!
  6. L

    Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

    #Chichimizi mwambie akuvumilie mkuu
  7. L

    Ajira za walimu 2014/2015 ni majanga

    Hali ni tete jamani huku mtaani kugumu!
Back
Top Bottom