Zitto asifanye roho za marehe kama njia ya kukidhi tamaa zake za ulafi wa madaraka,fedha,n.k
Watanzania wenzangu bila kujali chama,kabila,rangi,dini,tajiri au maskini ni nani asiyejua shida na taabu tunazopata wananchi wengi,ni nani asiyejua kuwa serikali imeshindwa karibu kila kitu,mikataba...