Recent content by Lweshabra

  1. Lweshabra

    JamiiForums Tanzania Uko tayari kumchagua tena huyo Mbunge wako 2025?

    Strength ya mwanasiasa hasa kwa nchi za Afrika haitokani na fedha alizonazo Bali kiwango cha ufahamu walio nao kwa wafuasi wake. Kwa maana hiyo wabunge wengi hasa ambao wanajua hawajafanya kitu kwenye majimbo Yao wanaamini watarudi vizuri tu kwasababu ya aina ya ufahamu wa watu wao.Kwa upande...
  2. Lweshabra

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Kwa hakika madawa ya kulevya ni adhali kubwa sanaaaaa na tatizo limechangia kuua ndoto za vijana wengi katika nchi yetu ya Tanzania ikiwemo Africa nzima.Juhudi hizi za kudili na wauaji hawa ziendelee kabisa. Geofrey Julius Africa's youth first network www.africasyouthfirstnetwork.org
  3. Lweshabra

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Kwakweli kwa upande wangu bado nakubaliana na juhudi za mheshimiwa Rais,kwa kiasi kikubwa amefanya kazi kweli. Mtazamo kwa sasa katika utendeji wake japo si kila mtu atamuunga mkono,akae na washauri wa uchumi jinsi gani ya kufanya mzunguko wa uchumi kuwepo kwa mwananchi huyo wa kawaida, wapo...
  4. Lweshabra

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Mh. Anna, Kwanza nakupongeza sana kwa kuja na wazo hili,kwa miaka mingi Africa ikiwemo Tanzania yetu tumekuwa na matumaini kwa wanasiasa kwamba wao peke yao wa naweza kutatua matatizo yetu na ndio fulumai za kisiasa haziishi na umasikini haukomi,hapa wapo watakaosema umekuja kisiasa lakini...
  5. Lweshabra

    JamiiForums Tanzania UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Ni kweli kila ataonja mauti lakini vifyo kama hivi Mara nyingi huwa napingana na watu hasa watumishi wa Mungu utasikia wakisema mapenzi ya Mungu.Mungu katika amri zake anasema usihue maana anajua kuna watu wa naweza kuua.Kwahiyo tukabidhi nafsi zetu sana kwa Yesu maana yeye ndio mponyaji wetu.
  6. Lweshabra

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    Sawa huyo mtoto atabatizwa lakini kihalali ni makosa kiroho.
Back
Top Bottom