Ndugu habarini za jioni,bila shaka kila mmoja yuko timamu kabisa!.
Siku ya leo kwangu imeenda vyema kabisa kwakuwa nimeamka nikiwa mzima wa afya tele kabisa,sasa nikiwa nimejikalia zangu ndani baada ya mizunguko ya hapa na pale ya kujitafutia chochote kitu,niliamua kupitia akaunti yangu ya...
Magufuli hakupinga watu kuwa matajiri ila alichokipinga ni watu kuwa matajiri uliyosababishwa na wizi na ukwepaji wa kodi.
Ikiwa ulikuwa Tajiri na ukakwepa kodi ya serikali lazima umchukie.
Pumzika kwa Amani Anko Magu.
MKASA WA PILI -Sehemu ya 50.
Inaendelea.............
Niliamka muda ukiwa umeenda sana,mke wangu tayari alikuwa ameshatoka kufanya mazoezi,kwakuwa ilikuwa jumapili mke wangu alinambia nimtoe out kuelekea mjini.Sasa kwasababu alikuwa akifahamiana na marafiki zake wengi walikuwa wamekubaliana...
MKASA WA PILI - Sehemu ya 49.
Inaendelea.............
Yule mwanamke aliponiona alipiga kelele na kumrusha Scolastica ambaye alikuwa juu yake na wote wakaanza kupiga kelele!,niliwafanyia ishara ya kidole kwamba wanyamaze.Niliwasogelea na kila mtu akawa ananiogopa.
Nilimwambia yule mwanamke...
MKASA WA PILI - Sehemu ya 48.
Inaendelea.............
Baada ya kuwa tumefika nyumbani nilimwita dereva ndani nikawa namuuliza maswali kadhaa ili nipate kufahamu pa kuanzia.
Nilimuuliza "Hivi Scolastica anakaa wapi?,huyo mwingine yeye aliniambia kwake ni Nyakato,je ni kweli?".
Dereva...
MKASA WA PILI - Sehemu ya 47.
Inaendelea.............
Nilikifungua kile chumba taratibu na kuingia ndani,nilipomtazama Malikia safari hii alikuwa kainamisha sura ambayo sikuweza kuiona vizuri!,nikaanguka chini na kusujudu kama kawaida,kichwa chake kilikuwa kimefunikwa na nywele zake...
MKASA WA PILI -Sehemu ya 46.
Inaendelea.............
Lile vumbi lilipotulia niliwaona wale wachawi wakiwa wameganda juu ya anga kama mwewe nikazidi kuwasogelea pale walipokuwa,wakati huo sikuwa na uwezo wa kupaa angani,kama nilivyosema hapo awali mimi sikuwa mchawi bali nilikuwa...
Kwamba mkuu uamini kama kuna ushirikina na kwasababu ninasema ushirikina ni mbaya unaona kama nawaonea washirikina?,Sasa ndiyo nimekuelewa mkuu kwamba unautetea ushirikina!!,kama unautetea ushirikina bila shaka na wewe ni mshirikina!!.
Mkuu mimi nitawaponda vichwa mpaka wanyooke!!
Jamani mimi hapa kwenye hiki kisa cha maisha yangu toka nilipoanza kusimulia tangia tukiwa Tarime sijawahi kukashifu dini za watu,sijawahi kumkashifu mtu,na kama mtakumbuka kuna wale jamaa ambao niliwaambia kwa sasa ni matajiri wakubwa hapa Dar es salaam sijawahi kuwataja majina yao maana...
Mkuu kwa hiyo ulitaka nisiseme kwamba nilikuwa nikifanya haya nayoyasimulia?,yaani hapa ninachopotosha ni nini?,mbona huweki wazi?,Hebu kuwa muwazi ili tuumalize huu mjadala.
Ok hebu tuumalize huu mjadala,hebu niambie nithibitishe nini ili wewe uamini kwamba haya yalikuwa maisha yangu ya kweli
Mkuu shida yako unaleta udini wakati kwenye hiki kisa hakuna hata mahali ambapo nimekashifu dini ya mtu au kuwashawishi watu waabudu dini ninayo amini mimi,lengo lako kubwa ni nini?,au ulitaka nisiseme kile nilichokifanya na nilichokipitia,hutaki ukweli usemwe?.
Hebu fafanua lengo lako kuu ni...
Huyu jamaa nilichogundua anataka kuleta ishu za udini,sijajua kwanini anataka kufanya hivyo na wakati kwenye hiki kisa changu hakuna mahali popote nilipo kashifu dini ya mtu.Nilichokisema ni kwamba watu wanajifanya wanamjua Mungu kumbe ni wanafiki watupu,yote niliyoyafanya niliyafanikisha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.