Just thinning,,, sidhani kama TL anawajua exactly waliomshambulia ,,kama ni polis ,,usalama wa taifa ,, chadema ,,ccm ama maadui zake wengine,, Ila ninachokifahamu POLIS wanawajibika kufanya uchunguzi na kupata majibu ya haya maswali tunayojiulizaa,, ila cha ajabu na wao wanamshangaa TL kama...