Recent content by luvyandi

  1. L

    JamiiForums Tanzania John Bolton, mgomvi wa Trump na mshauri wa masuala ya ulinzi asema Israel imeshindwa vita

    kama israel kapigwa na hamas bas Tanzania tunampiga kwa wiki Israel Tena anachakaa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

    Kumbe hamas n wanaume hakika. Israel mbwembwe kibao halafu wanaingia kwenye tundu bovu kabisa LA hamas. Kwa Hali hii hata Rwanda anaeza mpiga .....
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Israel Kijeshi

    Ila mwaka huu mashabiki WA Israel tumepata aibu ya mwaka. Ngoja tuone baada ya siku hizo nne walizotoa. Maybe Kuna kitu behind the scene
  4. L

    JamiiForums Tanzania Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Kiukwel papa amaeferi hata kama tutampaka mafuta kumsafisha kiasi Gani,ametukwaza kabisa I'm
  5. L

    JamiiForums Tanzania ECOWAS yaamuru kupeleka Jeshi Niger

    Well spoken wengi tunaishia kulaumu mapinduzi bila kuangalia chanzo n nn. Mfaransa kapoteza ulaji wake ndio maana anailazimisha ECOWAS kupeleka jeshi la waafrika kwenda kuwapiga waafrika wenzao kwa manufaa yao
  6. L

    JamiiForums Tanzania Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

    Kama Maisha kwako n magumu yataendelea kuwa magumu tu. Maana Kuna wale ambao Hawana mtoto hata mmoja lakin Bado hawawezi kupata hata uhakika wa huo mlo mmoja. Kipanya we zaa bwana
Back
Top Bottom