Recent content by Luushu

  1. Luushu

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta Dkt. Dorothy Gwajima hajawa mbunge?

    Mwanzo aliteuliwa na raisi kuwa mbunge labda atateuliea kwenye viti 10 vya rais,kwa maoni yangu Bora hata asiteuliwe kwenye hii serikali ya mchongo
  2. Luushu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu kusikilizwa Mahakama Kuu, Septemba 8, 2025

    12 12 ndio sahihi
  3. Luushu

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yajadili rufaa kuhusu uteuzi wa wabunge

    Mbona hawataji majina tuwajue ?
  4. Luushu

    JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kama Job alifunga ndoa kanisani na Stela,na hakuwahi kumtakaki kwa uasherati ambao dini ndio inatambua sababu pekee ya kuvunja ndoa,Hapo bi Fatma ni kimada hana chake,Kama angekuwa amezaa nae basi angekula kupitia mtoto maana kwenye mirathi watoto wote ni sawa
  5. Luushu

    JamiiForums Tanzania Je, ni sababu zipi zilizosababisha kampeni ya No Reforms No Election kupungua nguvu na kupoteza mvuto ndani ya kipindi cha muda mfupi ?

    Nadhani haupo Tanzania wewe hujui kinacho endelea kuhusu CDM
  6. Luushu

    JamiiForums Tanzania KERO CT scan na MRI kwanini mgonjwa hapewi option ya kuchagua?

    Asante umetutoa ushamba walao tumejua tofauti zake
  7. Luushu

    JamiiForums Tanzania Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

    Na kam Na Kama sio misilam basi fuata dini za mababu zinarihusu na mahakama inazitambua oa hata kumi Kama Mswat
  8. Luushu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Kama ilivyo kuwa Brazil Lula alishinda uraisi akiwa gerezani na kwa Lisu itakuwa hivyo ndio maana wanaikaba CHADEMA kila Kona,Lisu mhaini,mashahidi wa kificho,kesi ya ndani iliyo funguliwa na wazanzibari,mahakama kusimamisha shughuli zote za chama Chadema bado Ina nguvu wajaribu tu kuruhusu...
  9. Luushu

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya marehemu Edward Moringe Sokoine

    Kifo Cha Sokoine hata Mimi kiliniumiza ingawa nilikuwa kijana mdogo nilikuwa namkubali kupitia RTD sikuwahi kumuona uso kwa uso
  10. Luushu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Mbona hatuambiwi kafa kwa maradhi gani mpendwa wa Kongwa
  11. Luushu

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Kesi ya Lissu Watu 300 hawafiki Mahakamani

    Asubiri ubwabwa uive ale akalale
Back
Top Bottom