Duh! sawa wadau mna mawazo mazuri sana,changamoto ni hii,watu wanaofanya vizuri na wanaotesa katika nchi hii,si wale waliofaulu na GPA kuuubwa,ni wale wa kawaida tu,mpaka wale wenye gentlemen wapo wanatesa.Musoma revolution iko kazini,tu-fight tu,maisha popote.ukitafuta haki na usawa utaugua...