Nikikaa vizuri ntakutumia Link ya Full course ya Adobe Premiere ni 6 hours ina Section tatu Begginer - Intermediate - Advance. Nilicheck ilinisaidia sana. Sema nimeachana nayo kwa muda as nipo busy na Design za Civil Engineering Projects na Supervision kama una muda ndani ya muda mchache unakuwa Pro
Kioo hakina tatizo kwa uelewa wangu, maana Kuna muda ilionyesha vizuri. Nadhani the problem ipo kwenye Mainboard au ile T Con.. mikanda ipo miwil kutoka kwenye Main board nilicheck YouTube namna ya kuangalia mkanda nikatest nikagundua Haina shida. Sasa Kila fundi anaekuja naona anafanya maruwe...
Ushamba wa kijinga, kwa hiyo hapo waimba Injili wakakae huko kwenye dunia yao ili wasichangamane na watu wasiokuwa wa kiroho. Hawatakiwi kuchangama in any sense kwa chochote kile then aje na ile kauli. Sio mziki pekee iwe wamejitenga kuinteract kwenye chochote kile.
Unamjua Alex Kimario, waulize wale majamaa alichowafanya.. wawili. Alikuwa anawapeleka Sijui Uwanja wa Fisi.. huko Arusha. Hahaha na yeye ni Afisa msafirishaji
Wakuu, naombeni msaada Nina TV yangu ya Hisense 43 Inch, Smart Tv. Sasa hivi inaonyesha flickering screen( kama vijimistari) upande wa kushoto. Upande wa kulia ni nzima kabisa. Kuna muda iliwaka yote ikaonyesha vizuri pande zote (japo haikudumu zaidi ya saa). Ila kwa sasa imerudi tena kuonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.