Recent content by lutambijuma

  1. L

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Tunaomba kuwe na orodha ya viwete waliopona ili tuwachangie fedha za mitaji.Kama kweli wanapona sio changa la macho basi ni wazi kuwa ombaomba watapungua.
  2. L

    Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Mali za kutafuta mwenyewe huwa zinadimu kuliko za kupewa.Watamaliza za kupewa watarudi vijiweni kuungana na wewe
  3. L

    Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

    Unapokea magari kutoka kwenye majukwaa au kwa kufanya kazi? Mgogo yuko sahihi,tufanye kazi. Kama kuombewa,basi Sala na ibada zetu zilenge kubariki kazi za mikono yetu ili zizae matunda kama magari,nyumba n.k.
  4. L

    Mchungaji akitoa Mapepo kwa staili ya kipekee

    Wameteka akili za Wana wake tu,hakuna mapepo hapo.Kinachofuata hapo ni kukusanya pesa na kufunga ibada.
  5. L

    Kigoma: Maafisa uhamiaji mbaroni kwa Tuhuma za Mauaji ya Kijana aliyekuwa akishikiliwa kwa mahojiano ya Uraia wake

    Kwa kweli kuna baadhi ya polisi ni manyang'au.Lakini pia kuna polisi watenda haki hawataki ujinga. Tusiwakusanye kwenye tenga moja.
  6. L

    Msaada: Jinsi ya kufika Meatu (Simiyu)

    Kama uko Dar au moro,panda gari hadi Singida mjini.Telemka singida Misuna stendi,panda gari za kwenda Bariadi kupitia meatu Mjini. Kama uko Arusha au Tanga,panda gari hadi katesh.Pale kuna gari ya moja kwa moja kwenda Meatu kupitia Haydom na Nduguti. Kama uko nyanda za juu kusini,panda gari...
  7. L

    Hatimaye nimefika Dar es Salaam kutoka Kenya my dream comes true

    Kiswahili cha Kenya kina mchanganyiko wa kiingereza. Huyo Mtanga tu. Kama katika kilifi basi alienda kule na kurudi kwako Tz.
  8. L

    Ni mtu gani unayemjua aliwahi tajirika kutokana na Foreverliving au kupata safari wamazosemaga Korea na Singapore? Ushuhuda Plz

    Tuweni makini sana,kuna baadhi ya wafanyabiashara wanakutapeli kisha wanakufundisha kutapeli wenzio bila kujijua na bila kupata faida yoyote. Mwisho mnakutana wote street mkiwa masikini kabisa.
  9. L

    Msaada wa zile objectives za kwenye MEMART

    Njoo in box 0785379558 nitakusaidia kwa 60%. Iliyobaki utamalizia
  10. L

    Livingstone Lusinde awataka vijana kutumia fedha wanazoendea Gesti ili kujiajiri , asema wajilaumu wenyewe badala ya kulaumu CCM

    Inawezekana anafanya Biashara ya guest house,na ameona vijana wanaokwenda pale short time ni wengi. Lisemwalo lipo,kama halikuhusu tambua linamuhusu jirani yako. Cha muhimu fuata ramani ya maisha yako
  11. L

    Baba halali hapa ni yupi :

    Baba wa mtoto ajulikana kwa mama tu. Wapo watoto wengi wamepewa baba ambao sio wazazi wao hali bali waliosex mara moja na mama. Wapo ambao baba zao halisi waliwakataa ama kwa kuhisi wanasingiziwa, ama kwa kuogopa msala kwa bi mkubwa, lakini baba wengine walibambikiziwa na watakubali. Huyo...
  12. L

    Askari wakistaafu wanapata tabu sana. Nimemkuta OC-CID anauza chips hapa Chalinze

    Message delivered, mtumishi yeyote awe wa serikali au sekta yoyote anatakiwa aanzishe na kusimamia miradi yake nje ya mshahara anaopewa na bosi wake. Baada ya kustaafu wengine maisha hubadilika na kuwa omba omba, watapeli, wa kudoea vya watu n. k ili tu siku ipite. KUMBUKA KUWA:ULI SAIN IN na...
  13. L

    Je, wajua kwamba maiti ya binadamu huwa haina kivuli?

    Hivi bado viroba vinafanyakazi licha ya kuacha kutumiwa kwa muda mrefu sasa?
  14. L

    Toyota Landcruiser VX V8 nyeupe namba T 575 DLB

    Waendesha boda boda wengi hawako makini barabarani. Jeshi la polisi limejitahidi sana kutoa mafunzo na kusimama wima barabarani siku 7 za wiki ili kupunguza ajili, boda boda bado hawajitambui. Ukiwa barabarani kuwa makini sana na hawa jamaa. Huwa wanaweza 1000tu na kasahau usalama wao na...
Back
Top Bottom