Hatimaye nimefika Dar es Salaam kutoka Kenya my dream comes true

Yaani wewe unaona wivu mtu kutoka Kenya tena account ya Kilifi? Na kwa taarifa yako huyu ni wa hapa hapa tuu hana jipya kiswahi chake tuu anaonekana labda alienda huko Kilifi lockdown imemkuta huko so anaarudi huku akiweka vituo.
Kiswahili cha Kenya kina mchanganyiko wa kiingereza.
Huyo Mtanga tu.
Kama katika kilifi basi alienda kule na kurudi kwako Tz.
 
Nyie tukija kwenu tunaulizwa "iko wap yako?" Na kama huna makarao wako na ww mpk utoe kitu kidogo,hapo hup undugu uko wap?
Kweli wanatuoneaga sana wale mwezi jana tu niliķuwa natoka Taveta kwenda Machakos.
Si wakatushusha kwenye Newlot pale Loitoktok na kuanza kukagua ID..
Nikawapa pass wakanizuia kuendelea na safari kisa mtz, Amini usiamini wamenibeba pale hadi tarakea yaani wamenifuķuza licha ya kwamba muda wa kustay ulikiwa haujaisha.
pumbavu sana wale.....
Yabidi nasi tuwafanyie mtima nyongo.
 
Back
Top Bottom