Recent content by Lutah25

  1. Lutah25

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania litoe taarifa kuhusu askari waliopewa tuzo na Mahakama Kuu ya kurejeshwa kazini

    Septemba 10,2024 Mahakama Kuu ilitoa uamuzi wa kuwarudisha kazini Askari watatu kama taarifa ilivyojieleza kwenye mtandao wa Mahakama ujulikanao kama TanzLii (Home - TanzLII) ambapo majina ya askari hao na sababu ya uamuzi uliotolewa vyote vimebainishwa katika taarifa hiyo. Baada ya uamuzi...
  2. Lutah25

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

    Mbona hapa kama moja haikai, mbili haikai pia. Huku taarifa zinadai M23 walishaiteka Goma tangu mapema juzi, huku huyu CDF wa Kwa Zulu anasema M23 wamezuiwa kusonga mbele. Daah nachanganyikiwa aisee🤔🤔🤔
  3. Lutah25

    JamiiForums Tanzania Wana JF narudia tena, haribu kabisa tiketi au karatasi yenye taarifa zako kamili

    Hapa kuna mambo kadhaa ya kutafakari; 1. Kwanza hakuna mhalifu mjinga ambaye atafanya uhalifu wake huko kisha aache ushahidi wa wazi kama huo. Yaani mtu atoe tiketi mfuko wa suruali ama kwenye begi kisha aidondoshe mahali hapo ni ngumu hivo kiupelelezi inaonekana kabisa ni mbinu ya wahalifu...
  4. Lutah25

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

    Huu ung’eng’e hata mimi nimeukubali aisee kibongo bongo jamaa yuko vizuri.
Back
Top Bottom