Recent content by lushotokwetu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ni branch gani ya CRDB huwa inafunguliwa Jumapili?

    Mlimani City Vijana Br. Oysterbay Br. Tegeta Br.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Shimo la choo kujaa maji

    Mpigie huyu Fundi +255786549131 atakusaidia sana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa saa za kazi CRDB siku ya Jumamosi

    Matawi yote ya CRDB BANK PLC yanafunguliwa saa 2.30 kamili asubuhi.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    The best time is before he is one year old. Sababu, hana movements nyingi za kujitonesha. M-check Dr. Patel at Hindu Mandal hospital. He uses the ring rubber method. Siku 3 tu, mtoto amepona, rubber inadondoka yenyewe. Ana-circumsice only 3weeks to 1 year babies only. Akivuka huo umri...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    Hiyo skin allergy. Miye ni asthma ya ngozi, napatwa sana na hiyo shida. Oga maji moto yanayochoma mwili kila uogapo, hata kama kuna joto. Ukioga maji baridi, utawashwa zidi. Usisugue mwili kabisa. Oga kwa sabuni za mche za kufulia nguo. Au tumia dermatologically tested shower gel. Meza...
Back
Top Bottom