naombeni msaada wenu. mimi nimeangalia bunge kuanzia muda huu wa jioni. hivi kwa maoni yako ya kweli kabisa kati ya wazungumzaji hawa.
tundu lisu, lage,mnyika,nchemba nani kaongea mambo yanayo lenga wananchi na maendeleo ya nchi yetu?
kwakweli kwa mtu anaye elewa na mkweli kabisa toka moyoni mwake. hapa Ndugai alipofika panaogopesha. kama kweli anaweza kufanya uhaini wa democrasia namna hii kweli nimeamini siasa sio kitu cha kufanya.
Hivi kwelo ndugu zangu mnao ipenda Tanzania Tindu Lisu katenda kosa gani?
Kaomba utaratibu...
siku zote kiongozi asiyekuwa na ridha machoni pa Mungu huwa hapati kibali cha kutawala na kuongoza watu.
Akitawala kwa mabavu kama huyu wa sasa nchi hiyo itajaa laana kwani anao watawala watajaa manunguniko na taabu zisizo isha.
Ndugu zangu, maandiko yanasema".... ole wake aijuaye kweli na...
yaliyo mkuta Lwakatale yanaweza kukuta hata wewe.
kumbuka haya ni mateso ya duniani.
siku inakuja mtesaji atateswa pia. tuvumilie.
lakini kumbukeni dhahabu inathamani sana lakini haiwezi kuwa dhahabu bila kupita kwenye moto mkali.
hii ndivyo inavyo tokea kwa chadema
wakuu naombeni msaada wenu kwenye hili.
niliwahi kusikia toka kwa bibi yangu kuwa ili kosa liwe kosa mbele ya sheria lazima liwe na vigezo vyake na viwe vimetimizwa kisheria yaani. criminal offence must have these elements
1.intention to commete an offence
2.the act or ommission must be unlawful...
wakuu nimelazimika ku yasema haya wakati huu kukiwa na giza nene mbele yetu.
kwa waumini wa kikristi . Yesu aliwaambia wanafunzi wake ".........mkiyaona haya yanatokea mjue ufalme wa Mungu umekaria...." Ndugu zangu wa Tanzania hasa wale ambao tuna taabika na mfumo mbovu sana wa maisha nchini ...
Nafikiri wakati wa kulalama umekwisha naomba tuchukue hatu. Naamini kuna watu wengi mbadala wa hawa waliopo sasa serikalini. Niwaombe waTanzania wenzangu chondechonde tujiandikishe kwa wingi na tukapige kura kwa wingi tuweke serikali mpya madarakan wakati ukifika. naomba tuhamasishane popote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.