Sio kweli. kwani importers wana import kwa shiling au Dollar? tuna import kwa dollar sikuzote, sasa kama dollar imepanda sana (yani shilingi ipo chini) ina maana utatumia shilingi nyingi sana kuzibadili kua dola ili u-import bidhaa. Mfano: kama dola1 ilikua =1000Tsh na mtu anae import anaagiza...
Chama cha "kijamaa" mtu mmoja anakua taswira na nuru ya chama?? au ni wanachama wote kwa ujamaa wanatengeneza taswira ya chama! Tunapaswa kukomaa kisiasa, umaarufu pekee hautoshi mtu kua Kiongozi, kiongozi bora.
Chama cha "kijamaa" mtu mmoja anakua taswira na nuru ya chama?? au ni wanachama wote kwa ujamaa wanatengeneza taswira ya chama! Tunapaswa kukomaa kisiasa, umaarufu pekee hautoshi mtu kua Kiongozi, kiongozi bora.
sehemu ya waraka aliotoa Nape.. " CCM inamasilahi makubwa na mapana na Muungano huu kama waasisi pengine kuliko taasisi nyingi ndani na nje ya nchi yetu." kumbe ni kwa maslai yao ccm, sasa tunajadili katiba kwa maslai ya ccm au Taifa?. This is another Thinking immaturity of our leaders
Strong Mind people, discuss Issues, But week minded people discuss people. Hii ndio namna ya kufikiri kwetu. Taasisi iwe mtu!! Endelea kupigia debe hoja zilizopitwa, leo watu wanajadili jambo nyeti kwa Taifa, Katiba ya Nchi. wewe akili zako bado unajadili zitto (mtu). ukipevuka utabadilika...
Nimefuatilia kidogo kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga nagundua kua bado upofu wa kufikiri wa watanzania ni mtaji mkubwa kwa wanasiasa. Wanasiasa wetu siku wakipata kufanya siasa kwa watu wapevu wa fikra watashindwa kwa aibu. Kwa mfano; Mgombea kalenga kwa chama tawala anasema...
kwani Uganda wana nguvu gani ya kiuchumi kiasi cha kuweka wazi msimamo wao juu ya upuuzi huu?, zimbabwe je? hapa swala si uchumi. haidhuru kuambiwa, lakini inadhuru sana kuambiwa upuuzi halafu ukapepesa macho kuukataa waziwazi na kutangazia dunia msimamo wako, ili kesho asijitokeze mpuuzi...
It is sad to see that our Nation delays to decree internationally that we Tanzania are completely against homosexual marriage. We have delayed to commit laws and decree before the World that we are standing against on this stupid act. I have read that our President was asked on CNN, last...
Wait! wait! the game is still on start. don't panic lady. usiwashwe na mihemko ya 'kikekike' washauri na chama yako watumie chopa. maana unajenga hoja juu ya chopa. ungekua mwanaume usingekua na hoja zenye viashiria vya wivu wa kike. Get matured young lady.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.