Recent content by luse

  1. luse

    Nimeamua kujifunza Python programming

    ooh, ilikuwa inaitwaje? That'll be good, kwasababu i doubt kama tuna any tech related forum in Tz.
  2. luse

    Nimeamua kujifunza Python programming

    Jaribu kupitia hizi links:
  3. luse

    Jifunze Computer Science bila kwenda chuo

    Mkuu uzuri wa hizi course ni kuwa zote zinatoa assignments, pamoja na solutions to those assignments. Zingine hadi wanakusahishia hizo assignments at no extra cost. There are tests also. Kwahiyo ni rahisi kwa mtu kujipima. Mtu akiwa stuck some where all they have to do is google, au kuangalia...
  4. luse

    Jifunze Computer Science bila kwenda chuo

    Technology ni kati ya field ambazo inakua na kubadilika kila siku. Na hii imefanya watu wengi wawe interested nayo, maybe it's because of how big an impact technology has in our lives au the way people can create amazing things kwa kutumia technology. Whatever the reason is, hii imefanya watu...
  5. luse

    Kama kuna mtu ameshawai nunua online game

    Sorry if this is a silly question, but kadi yako umeiwezesha kufanya manunuzi online? Kama ikiendelea kuzingua, unaweza kutumia bitcoin, steam wanakubali bitcoin as a form of payment.
  6. luse

    Tukiachana na mobile money platforms, je Tz tuna any other payment processors?

    Noone is blaming anyone, ndo maana in my post nikaishia kwa kuuliza, kuwa je issue ni willingness ya developers, complexity of the project au regulation? Ndio i understand kuwa its a complex project, and its not something a sole developer can go at it alone. Na i understand how different...
  7. luse

    Tukiachana na mobile money platforms, je Tz tuna any other payment processors?

    You might have a point. Tumezoea kukaa in our comfort zone, we rarely ever step outside of it.
  8. luse

    Tukiachana na mobile money platforms, je Tz tuna any other payment processors?

    Hahaha mkuu umenichekesha ulivosema adsense. Ila sidhani kama swala ni elimu. Maanake nauhakika hivyo wanavyofundishwa hapa ni almost the same na wanavyo fundishwa Kenya na nchi nyingine. Labda difference itakuwa kidogo tu. Sema hapo kwenye muamko nakubaliana nawewe, na hilo si tatizo la...
  9. luse

    Tukiachana na mobile money platforms, je Tz tuna any other payment processors?

    But we need to change, lasivyo tutabaki tukisubiri watu wengine ndo watuletee new things.
  10. luse

    Tukiachana na mobile money platforms, je Tz tuna any other payment processors?

    We sema chochote kile mkuu, ni nini maoni yako kuhusu hii?
  11. luse

    Hivi Tanzanian banks zina api?

    Kwahiyo basically unahitaji kuwa some big name company ili wakupe access to the APIs. What about kama ni an individual au a small firm, wanaweza wakakupa access to those APIs, hata through vetting, au ndo mtu asahau kuhusu hilo. Mind me asking huwa hizo projects ulizofanya zilikuwa zinahusu nini?
  12. luse

    Hivi Tanzanian banks zina api?

    Thank you for reminding me, next time i'll do that.
  13. luse

    Tukiachana na mobile money platforms, je Tz tuna any other payment processors?

    Kadri dunia inavozidi kwenda ndo jinsi technology inavozidi kukua. Sikuhizi the most popular mode of payment duniani ni cashless. Yani mtu mnafanya biashara bila kupeana ela mkononi. Na a popular form ya kuaccept payments ni kwa kutumia a payment processor. Hii ni very helpful kama unafanya...
  14. luse

    Hivi Tanzanian banks zina api?

    Jamani, kwahiyo no-one has an answer to this??
Back
Top Bottom