Recent content by lusanasaimon

  1. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    nime kufurahisha na nn mkuu?
  2. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    nitamtimua muda si mrefu
  3. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    ni tahira kweli. unajua so kwamba nimekataa kuombwa. lakini kwanini wahusika hawaniombi wenyewe? mpaka awapigie debe yeye? nimemwambia kama ndio ujinga wanaufanyaga dada zake kwenye miji yao yeye akienda huko. basi iyo michezo kwangu siitaki
  4. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    wanataka kuleta uzungu kwangu
  5. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    nilitaka. kumuonya majibu alienda kujibia njee
  6. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    nimesha mshtukia awe anawapa za kwake
  7. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    aisee huyu wangu ni zumbukuku
  8. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    wala sio last born
  9. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    hapana nawa heshimu mkuu
  10. lusanasaimon

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    Habari za jioni mabibi na mabwana, kwanza nijambo lakujivunia Christmas tumeimaliza salama na naamini mwaka mpya wote tutafika salama mungu yu nasi. Niende kwenye mada bila kupoteza muda mimi nimeoa na ndoa yangu ina miaka kadhaa. lakini kuna tabia ambazo mke wangu anazo nashindwa kuzielewa...
  11. lusanasaimon

    Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    nitumie nini ilikuongeza wingi wa mbegu?
  12. lusanasaimon

    Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    tupe madhara yakutisha ya puli a.k.a mkombozi ili tuachane nayo mjuvi
  13. lusanasaimon

    Nilitaka kumpiga makofi Afisa wa uhamiaji

    nilidhani ni waha tu kumbe mpaka masai wanabaguliwa?
  14. lusanasaimon

    Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    yaani kwa nyuzi zilizomo humu za kuhusu huyu mkombozi puli ni nyingi na nyingine zinatisha. nyingine zilijaribu kutushawishi tuache lakini imesha shindikana.
  15. lusanasaimon

    Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    daah hili swala la nyeto lina nifikilishaga mnoo. naomba msiwe mnaliongelea kabisa
Back
Top Bottom