Recent content by Lusamba

  1. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya M-gas Cooking Limited imetutelekeza wafanyakazi kwa miezi miwili bila kutulipa mshahara na kuanzisha kampuni mpya

    hii ni ishu ya kisheria zaidi fungueni kesi muwe na vielelezo tu
  2. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya M-gas Cooking Limited imetutelekeza wafanyakazi kwa miezi miwili bila kutulipa mshahara na kuanzisha kampuni mpya

    damu ya mlinzi ishamchanganya hadi kauza kampuni tayari anatembea na doa jekundu hadi mwisho wa maisha yake
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

    mswahili sio muaminifu sababu ya laana ya umasikini
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

    mkopo ni biashara ya mwenye nacho kumpokonya masikini,watumishi wana maisha magumu sababu ya mabenki
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

    lhrc wanaingiliaje mkataba binafsi wa watu wawili waliokubaliana ulikopa kwa hiari lipa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanikiwa kiuchumi, Kijamii, kisiasa, kiroho, kirahisi kabisa

    Mwafrika ukimuona kanisani anamuomba Mungu ampe kazi,mwenza ,mafanikio kiuchumi,mke mme na akishajibiwa kanisani ugeuka kituo cha polisi umuoni tena hadi apate tena matatizo mfano ya kufukuzwa kazi,biashara imeyumba talaka nk.Mzungu uenda kanisani kumuomba Mungu akimaanisha kwa sababu wao...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sina kazi nashinda na simu muda wote

    shida ni wewe sio simu simu ni mwalimu tosha ina fursa zote itumie ikupe maarifa utoboe weka vyeti ufunguni au fungia kabatini toa akili nje weka iabu pembeni maisha sio vyeti bali unajua nini kuhusu maisha popote penye watu pana pesa pesa zinamfuata anazitafuta.anza kwa kuuza hata maji ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

    ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na dini ili kupata cheap labour ya wapiganaji wa bure wa kuwalipa wali maharage tu baada ya kuwafanyia brainwash vijana wasio na ufahamu wowote kuhusu imani ya dini yao zaidi ya mihemuko tu. makundi ya kigaidi yapo yajifungamana na Ukristu mfano Lord...
  9. L

    JamiiForums Tanzania NEMC: Tumekagua ghala ambalo moshi wa Kemikali ulisambaa na kubaini Wafanyakazi wake pia hawana vifaa kinga

    hii salfa inaua madereva wengi sana.Ulaya inakuja kwenye kontena kwann mamlaka inaruhusu isafirishwe kwenye viroba tutegemee madhara zaidi
  10. L

    JamiiForums Tanzania Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    unachukua mwingine mwenye kauli safi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tambiko la Wanyaturu kwa gari la Lissu, wahusika bora wajitokeze

    Ushirikina ni ishu ya timing tu aliyetoa kafara nzuri kwa shetani ndie huwa mshindi
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tambiko la Wanyaturu kwa gari la Lissu, wahusika bora wajitokeze

    Mbona wengi walishakufa kwa karma
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mume wa sasa wa pastor Irene Uwoya ni nani?

    Mcheki steve nyerere ndie dalali wao
  14. L

    JamiiForums Tanzania Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Sasa kipigo kinatibu verbal abuse si unakaa nae mbali tu akaolewe na mama yake aliyemlea vibaya
Back
Top Bottom