Bora umewaambia yaani hawa wana Ukawa sijui wana moyo waaje hawajatumwa kuchagua mgombea mwenye afya mgogoro lakini wanapoona Rais mtarajiwa Magufuli akipasha wanaviba kweli! Jamani si mpasuke. kulala wanashindwa,kutwa leo wanatumia muda wao kupost vitu visivyo na maana kwa lengo la kum-dis...
Ushauri kwa Kubenea falsafa ya chama alichopo sasa si ya kipindi cha Dr Slaa cha kukemea mafisadi huenda akawa anaanza kuwaanika wakubwa zake bila yeye kujua
Magufuli jembe lisilokamatika we acha tu!! lilichukua form ya uraisi kimya kimya lina choma mioyo ya watu kimya kimya.
Watu wanazidi kuliamini kimya kimya kwa hoja zenye mashiko. Acha waisome namba
Magufuli anatoa hoja tu...hana blah blah na hataki kujibu matusi na vijembe vya Ukawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.