Recent content by Luraja

  1. L

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kaombe nafasi dodoma hachana na kubadilishana
  2. L

    JamiiForums Tanzania NECTA jamani nina C masomo 5 na B masomo 2 afu nina division 4 ushauri jamani

    Weka namba yako tuone ukweli wako
  3. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Ingawa ni vizuri kuhesimu mawazo ya mtu, lakini huyu kanda wa ccm anatakiwa afikrie mwalimu na askari wanaoishi Dodoma kwa mshahara wa 300000 kwa muda wa siku 30.Naomba aje na hoja je inakuwaje wajumbe wa wabunge la katiba washindwe kuishi kwa hela hiyo hilo kwa siku moja?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na umasikini wa tanzania

    Nafuatilia mjadala wa posho ya wajumbe wa bunge la katiba.Inasikitisha sana kuona wajumbe ambao wengi wao ni wabunge na wasomi wetu wakiwa wanadai waongezewe posho.Wanajav kwa hesabu za haraka mjumbe mmoja atachukua milioni 21,000,000 kama bunge litadumu kwa siku 70. Hivi hii ni haki? Kwa nchi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anayejua hisabati kwa hesabu hizi hapa.

    Kwa mwendo wa kutaka majibu wakati wewe hujui utaendelea kukalili na haitakusaidia kamwe.Unatakiwa utafute mwalimu akufundishe hesabu hatusomi kwa kupewa majibu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anayetaka kufanya kazi ya ualimu mikoa ya mwanza, bukoba na kagera.

    Hata wewe ni mwalimu? Kama ni kweli wanafunzi watafeli sana.Hivi kuna mkoa wa Bukoba na Kagera.
  7. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    Wakati mwingine wanajf tuwe tunajaribu kufikiria nje ya box: 1.Kwanza barua hajasainiwa 2.Barua yenyewe ni ya tarehe 15/machi/2013 Kwa sababu hizo hapo juu hii barua haina ukweli wowote ndani yake na hizi inawezekana ni siasa mfilisi za chama tawala,
  8. L

    JamiiForums Tanzania Walimu wa halmashauri ya wilaya chato hili mlikatae kwa nguvu.

    Kweli adui wa mwalimu ni mwalimu.Hapa Chato maafisa elimu ambao kitaaluma ni walimu ndiyo wanakuwa wa kwanza kuwakandamiza walimu.Ni hivi karibuni maafisa elimu hawa wameagiza tena kwa lazima kwamba walimu wote wachangie madawati.Kinachosikitaisha mwalimu anachangia maendeleo kila mwezi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Chemsha ubongo wako

    Mwalimu alitoa chemsha bongo darasani "Laiti jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa Ijumaa" Mwalimu aliyasema maneno haya siku gani? Naomba mnipe jibu wanajf.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

    Tusisahau Minaki high school
  11. L

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya halmashauri ya kilwa walia njaa

    Serikali ya ccm haina lengo la dhati la kutatua matatizo ya elimu Tanzania zaidi ya kuunda tume ambazo hazina tija.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

    Rais asipochukua hatua za dhati kumaliza mzozo wa nani achinje, taifa letu litatumbukia kwenye vita ambavyo damu yake itakuwa juu yake.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu huu wizara ya afya umeanza lini?

    Ukitaka kujiunga na vyuo vya wizara ya lazima ulipie shilingi 15,000/= ambazo hazirudishwi hata kama hautachaguliwa Naishangaa serikali yangu ya ccm ni kwa nini haina utaratibu unaofanana katika wizara zake.Kwa mfano wizara ya elimu wao unatuma maombi bila kulipia pesa.Nachelea kusema kuwa huu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu huu wizara ya afya umeanza lini?

    Ili mtu aweze kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vya afya serikali katika ngazi ya cheti na stashahada anatakiwa kulipia sh 15,000/= ambazo hazirudishwi hata kama akikosa.Wakati nchi inakabiliwa na tatizo la wataalamu wa afya serikali yetu inazidi kuweka vikwazo vya kujiunga na vyuo vyake.Lakini...
  15. L

    JamiiForums Tanzania kwa nini walimu Bongo tunadharauliwa sana?

    wewe mwenyewe unajiona una akili kwa jinsi ulivyo respond hiyo thread?
Back
Top Bottom