Recent content by Luqman Van Maliki

  1. L

    Mazingira ni muhimu kwa jamii, yatunzwe

    Mazingira mazuri ni jambo muhimu na bora kwa kila maisha ya mwanadamu hivyo ni muhimu kuyalinda na kuyatunza. Umuhimu wa kuendelea kutunza mazingira ni jambo linalo sisitizwa sana duniani kwa sasa. Hali ya mazingira kadiri ya watu inavyozidi kuongezeka uharibifu wa mazingira huongezeka pia...
  2. L

    SoC01 Umuhimu wa lishe bora na ufanyaji mazoezi huimarisha afya ya mwili

    Afya ni kitu cha kwanza muhimu kabisa kuliko vyote katika uhai wa mwanadamu. Mtu akikosa afya bora hata kamanakiwa na utajiri wa hadhina za dunia yote bado atakuwa hana furaha ya kufurahia mambo hayo nanutajiri huo. Msingi wa maisha ya binadamu upo katika afya njema. Vyakula vingi kwa sasa...
  3. L

    SoC01 Watanzania uzalendo unaanzia nyumbani tuthamini vya kwetu

    . Uzalendo ni msamiati au neno gumu sana kwa baadhi ya watanzania hasa ukitazama na kukumbuka jinsi mambo mengi yanavyokwenda na kuchukuliwa nchini. Mapema wiki hii tarehe 3 ya mwezi Septemba bondia wa ngumi za kulipwa nchini Hassan Mwakinyo alikuwa anapigana na bondia kutoka Namibia Julius...
  4. L

    SoC01 Corona inaathiri uchumi wa dunia Watanzania tuendelee kuchapa kazi

    Kuanzia mwaka 2019 kila nchi karibu dunia nzima imekumbwa na hali mbaya ya kutembelewa na ugonjwa wa hatari wa CORONA ambao umeendelea kusambaa kwa kasi kubwa huku ukiendelea kunyofoa roho za watu mithili ya uzi mwembamba katika moto. Tangu kuibuka kwa virusi hivyo ambavyo vilianzia pale katika...
  5. L

    SoC01 Dawa za Kulevya zinavyorudisha nyuma maendeleo ya Taifa

    Rashid Abdallah Makwiro mmoja kati ya wasanii bora zaidi wa Hip Hop nchini. Watu wengi hawawezi kulijua jina hili, huyu anafahamika kwa jina maarufu sana la Chid Benz. Unamkumbuka Chid Benz katika ubora wake akiwa karibu na kipaza sauti? Alitisha sana, ukibisha unachotakiwa kufanya ni kutafuta...
  6. L

    SoC01 Unaweza kutoa mimba bila kujua mtoto unayemtoa na kumdhulumu uhai wake angekuja kuwa kama muokozi wa taifa

    Willis Austine Chimano, Bien Aime Baraza, Delvin Savara Mudigi na Polycarp Otieno ni wanamuziki kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Katika moja ya wimbo wao bora unaowavutia wasikilizaji wengi zaidi ni ule wa NEREA wa mwaka 2015 ambao waliwashirikisha Amos na Josh. Ndani ya wimbo...
Back
Top Bottom