Recent content by Lupongo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tujadili Mfumo wa Elimu utakaotufaa Tanzania. Maoni yataunganishwa na kufikishwa Bungeni na Serikalini

    Tubadili mitaala ili iendane Na mazingira yetu.mf tumejaliwa misitu watoto wetu waandaliwe tangu elimu ya awali kujifunza namna kutunza misitu ni lahisi kupata wabobezi wa Mali asili. Jambo lingine ni kungelikuwa na utaratibu wakulazimisha viongozi wa selikari wa maenoe usika watoto wao kusoma...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muondoe DAS wa Arusha

    Joseph nikwamba das ametumia busara ya Hali ya juu!!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa ardhi ajiuzia v8 mil 5, limetengenezwa kwa mil 55

    Hii ya watumishi kujiuzia magari ni jambo la kawaida kwa wakurugenzi wa mashirika ya umma!! Mfano mkurugenxi wa AICC na yeye alijimilikisha Gari ya selikari kwa pesa ya kutupwa!!!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Urais Zanzibar: Wazanzibari waanza kuandaa SUTI

    Hata mm Leo ucku nimeota Seif anaapishwa!!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu AICC Bwana Elishilia D Kaaya na maamuzi mabovu

    Jamani nchi hii nani aliye msafi????
Back
Top Bottom