Recent content by Lupaya

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, anzisha harambee ujenzi wa reli

    Akili ya kipekee, very nice. Wengine wanataka kuchangia sherehe tu.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, anzisha harambee ujenzi wa reli

    Na Mimi sina hela ila lazima tupambane.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, anzisha harambee ujenzi wa reli

    Zipo dar - Dom mbele bado
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, anzisha harambee ujenzi wa reli

    Si ndio kujenga njia za uchumi kuondoa umasikini. Kati ya Yale matatu ya mwasisi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, anzisha harambee ujenzi wa reli

    Sawa nimefanya kama ulivyosema
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, anzisha harambee ujenzi wa reli

    Presdent nashauri anzisha harambee ya kuchangia ujenzi wa reli kuongezea nguvu hela za serikali zinazotengwa kwa ajili ya kazi hiyo. Hii reli tuijenge wenyewe na tunauwezo wa kufanya hivyo. Hapa suala ni kujiamini na kujitoa tu. Tuache kuona sisi hatuwezi na kuwa na akili ya utegemezi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Hivi tuache kusoma kwa sababu kwenye elimu hakuna hela? Ee, si tunasoma tupate utajiri. Sasa bila elimu kubwa ya maarifa makubwa nani Angekutengenezea hiyo simu unayoitumia? Hiyo cm unayoitumia inamifumo mingi ambayo baadhi ya technoloji zake zilipatikana kwa maarifa makubwa ya elimu. Kama vitu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Unatoa mifano ya akina Barkharesa, kama Barkharesa wako wangapi katika nchi? Education is for lebaration mentally and physically, not only to make you rich.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Acha ufu wa akili. Lengo la elimu sio kupata hela na utajiri unaoutamani na utajiri wenyewe sifahamu kama unao. Lengo la elimu ni kutoa maarifa ya kila nyanja ya maisha. Bila elimu usingejua umuhimu wa kunawa mikono ukitoka uani. Acha kuleta mada za aibu aibu hapa.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Mambo mengine kama huyafahamu ni vizuri ukakaa kimya. Mtu unasema vitu ambavyo vinakuonyesha kabisa ulivyomfinya wa uelewo. Lengo la elimu sio kupata fedha pekee na wala sio kupata kazi ya kuajiriwa tu. Elimu kubwa, ubobezi na maarifa makubwa zaidi. Na maana hii ndio unapata wataramu wakubwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Iringa: Binti wa kidato cha sita abakwa, anyongwa hadi kufa

    Upandacho ndicho utakacho kivuna.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Keko: Askari Magereza watembeza kichapo kwa raia usiku kucha

    Waende wakakutane na wenzao Congo sio raia wazee wasiojua hata kutupa jiwe.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nape: Nguvu haijawahi kuwa chanzo cha amani popote duniani

    Mbona alitumia ubabe sana akiwa mwenezi, au kwa sababu ya uwaziri?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tafakari baada ya Kuvunjwa Msikiti wa Kimara Mwisho

    Albadili iligoma kufanya Nazi hapo?
Back
Top Bottom