Recent content by lungw

  1. lungw

    Msaada kufahamu gharama ya mzigo kutoka China mpaka Tanzania

    Kwa anayejua jinsi ya kucalculate gharama ya mzigo uliotumwa kutoka China hadi Tanzania mfano mashine ya kuoshea magari (car washer machine) ya kilo 50
  2. lungw

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Huo ujinga umeambikizwa na viongozi
  3. lungw

    Msaada:Kwa anaejua bei ya car wash machine

    Kwa anayejua bei ya car wash machine naomba aniambia ni sh. ngapi na ipi nzuri Kati ya umeme na mafuta.
  4. lungw

    Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

    Huyu mama hata mimi nilivyomuona kwa makeke yake najua hafiki mbali
  5. lungw

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Chadema inawanachama hai milioni 6 ikiweka utaratibu mzuri kila mwezi mwanachama achangie elfu 1000 inatosha kabisa kuendesha chama
  6. lungw

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    Kwenda kwao bungeni Kuna halalisha uchaguzi kua ulikua poa na wataendelea kupokea hiyo misaada yao Bora tusiwe na wawakilishi bungeni lakini na mabeberu yawanyime misaada ili aikiri iwakae vizur
  7. lungw

    "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji

    6.5.2 d imejibu swali lako na waliitwa wakadharau kamati kuu hayo mengine njaa tu zinakusumbua
  8. lungw

    Kuwafukuza uanachama Wanawake mashujaa 19 ni kujipiga risasi mguuni

    Hata wakikingiwa watanzania watajua na dunia itajua kua Sheria hazifuatwi Tena nalo litakua tatzo lingine ambalo tutajua namna ya kulishughulikia
  9. lungw

    Kuwafukuza uanachama Wanawake mashujaa 19 ni kujipiga risasi mguuni

    Bora ubaki na wanachama 10 waaminifu kuliko kua na wanachama milioni wasaliti fukuzia mbali ili na wengine waogope Tena ikiwezekana uchunguzi ufanyike ili wote waliohusika kufanya uhuni huu waadhibiwe vikali.
  10. lungw

    Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

    Chama gani kingine kinafanya hivyo
  11. lungw

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Lissu noma na hawezi kupata usingizi CCM walijua kazi rahisi
  12. lungw

    GE2020 Tatizo la sera za Rais Magufuli ni kutogusia maendeleo ya watu kwenye kampeni zake

    Hilo tamasha la wasanii,watu wanakuja kuwaona wasanii na bado mnawasomba na maloli
Back
Top Bottom