Recent content by Lungutz1

  1. Lungutz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

    Hongera kama ni hivyo, oaneni sasa. Ila atafute kwanza kazi Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  2. Lungutz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mpenzi Hamna anachonipa jamani!!!!....

    Kama anakusukuma inatosha usiseme hakupi kitu. Kikubwa na yeye akupende usijipendekeze kisa kisa ana mvuto uliousema "Mwarabu flani hivi" [emoji23][emoji23] Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  3. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

    Kwenye list yako Dizasta vina simuoni, ila jamaa fundi sana wa mistari Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  4. Lungutz1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwahiyo kikao kimeamua nauli ziliwe na hakuna kwenda?

    Ni utapeli mpya mjini, tena ambao umeonekana kuhalalishwa na wahusika. Na ukimwambia tumia nauli yako haji gheto, utateseka na upwiru wako.... Nashauri hivi; tongoza majirani anatembea mita chache au analipa nauli buku tu kashatimba maghetoni. Au kama vipi unachukua boda unamfuata mwenyewe...
  5. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania I'm not specified but I can do any job, except illegals and morally distructive

    Manake hapo kwanza nicheke [emoji28][emoji28] naogopa kufa mapema kufanya vitu haramu Mungu hapendi!
  6. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania I'm not specified but I can do any job, except illegals and morally distructive

    Mgoni lakini naelewa na kinyakyusa pia.
  7. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania I'm not specified but I can do any job, except illegals and morally distructive

    Mgoni lakini naelewa na kinyakyusa pia
  8. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania I'm not specified but I can do any job, except illegals and morally distructive

    Aliyenishauri ameniponza, alidai nikiandika english ndo inamata. Niliona isiwe kesi japo sijui kiingereza proper acha nijilipue tu hivyo hivyo
  9. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania I'm not specified but I can do any job, except illegals and morally distructive

    Nashukuru kwa kunielewa, ni kweli tatizo la lugha ya kiingereza lipo sana kwangu, ila kuna mtu amenishauri niandike kwa kiingereza badala ya kiswahili akidai labda pengine jambo langu litapata uzito kwa watakaolisoma! Sikujali kutokujua kwangu ila nikapambana kuandika hivyo hivyo.... Nisaidieni...
  10. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania I'm not specified but I can do any job, except illegals and morally distructive

    Kiswahili huko kwingine nimedandia tu, sijui kitu ni kwa vile inatulazimu kujifunza na kusoma kwa kiingereza. Michongo ya kiswahili itanifaa zaidi... Tafadhali naomba michongo kama unayo, kuwa jobless kunakondesha sana
  11. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania I'm not specified but I can do any job, except illegals and morally distructive

    Asante mkuu, lugha za watu changamoto ndo tunapambana nazo
  12. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania I'm not specified but I can do any job, except illegals and morally distructive

    Asante mkuu, lugha za watu changamoto ndo tunapambana nazo
  13. Lungutz1

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kutafta Kazi ya Graphics Designing or ICT Solutions

    Nipe mchongo huo mkuu
Back
Top Bottom