Recent content by lunganzira

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Serikali haina fedha za kutosha kwa ajili ya korosho

    Wewe kama mnunuzi wa kangomba uliyevaa joho la mkulima na nyie ndiyo mliowaponza wakulima safari hii.mliisha zoea maisha ya kupiga sasa imekula kwenu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nape: Kinachoendelea ni mateso kwa wakulima wa korosho, hakiwezi kumaliza tatizo

    Nape ni mnafiki yeye na baba yake Membe ndiyo wafanyabiashara wa kangomba. Yeye aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya masas mkoani mtwara na wakati huo serikali iliweka dhamana kwa vyama vya msingi kukopa bank kwa ajili ya kuwalipa wakulima malipo ya awali.sasa atupe changamoto zilizojitokeza wakati...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari ya ATCL kuzuiwa kutua kwenye viwanja vya nje

    Kama fastjet wanadaiwa wanatakiwa kulipa habari ya kubembelezana eti kwa sababu uingereza watatufanyia hujuma sis haitusaidi.Kila kitu kinatakiwa kiende kwa taratibu tulizojiwekea na tuziheshimu.Ukiukaji wa taratibu hizo ndiyo umeuwa mashirika ya umma na ni upuuzi mtupu kushangilia wazungu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

    Magufuli ni rais makini.Nakupongeza
  5. L

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Magufuli Anaposema anawapenda watumishi wa umma

    Ni bahati mbaya watumishi tumemuelewa rais magufuli kuliko rais yeyote.suala la maslahi yetu kazini tuliyokuwa tunapewa bila uhakika na kwa kunyenyekea hivi sasa tunalipwa kwa usawa bila ubaguzi.suala la nyongeza ndogo za mshahara tulizokuwa tunapewa tulikuwa haturidhiki nazo sasa ametuahidi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    safi sana raif wangu
  7. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

    Agombee tu hana madhara ni joka la kibisa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli kuondoka madarakani ni vizuri tuziuze ndege hizi kubwa

    Pole sana wazee wenu waliua mashirika ya uma ili wafanye biashara hizo sasa mwamba amewanyoosha.shwain sana nyie
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, msamehe Mh. Mnyika bure ni utoto tu

    Mnyika alimuomba rais atumie ubinaadamu kuhusu suala la fidia kwa waliovunjiwa nyumba ingawa anajua fika kuwa hukumu ya mahakama kuu ni amri hivyo anawahadaa wananchi wake.Hakuna aliye juu ya sheria.safi rais magufuli dogo alitaka kukutia mkenge
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Azimio la Zanzibar?

    Hawa ni vbaraka waliotumwa na mabwana zao wenye wivu na maendeleo ya nchi hii.wanataka kuleta machafuko na hofu kwa wananchi. nina imani serikali itawashughurikia ipasavyo. kama ni mikutano kwenye majimbo yao wameruhusiwa lakini hamfanyi. Si mbowe ,zito, mdee wala mnyika anayefanya mkutano...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Idara ya Usalama wa Taifa ina wajibu wa kumsaidia Masha

    Hoja nyepesi sana haina mashiko
  12. L

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Wapumbavu sana kwa kipindi cha jakaya na kipindi hiki ni kipindi kipi kulikua na ukiukwaji wa haki za binaadam zaidi
Back
Top Bottom