Recent content by lumumba2002

  1. L

    Mh Rais, nakuomba tafadhali soma waraka huu... - Lema

    Thanks Lema, nadhani mh. rais ameshauona mtikisiko huu, tunamuomba autafutie ufumbuzi kwa faida ya watanzania wote, kushabikia udini na ukabila ni sawa kabisa na kushabikia kifo.
  2. L

    Hatimaye serikali yaamua kunyoosha mikono... Gesi sasa kubaki Mtwara!

    ok, tunawashukuru wote walioshiriki kufanikisha mpangu huu, nadhani mtwara nako kutakua na identity
  3. L

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Hapa suala ni moja tu Tanzania kama nchi haina dini, ila wananchi wana dini zao wanazoziamini.
  4. L

    Unhcr internal/external vacancy post

    ni sawa, tuwe na subira
Back
Top Bottom