Recent content by lumumba the son

  1. L

    Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Unajitia upofu kwenye vitu vinavyoonekana waziwazi. Hayo mapokezi unayoyasema tumeyaona na hayafikii hata robo ya mapokezi ya Mwinyi. Ukweli utabaki palepale Mwinyi anakubalika na ndiye raisi ajaye.
  2. L

    GE2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

    Msijisahaulishe jamani Magufuli alikuwa Kagera na maelfu walifurika katika viwanja vya Gymkhana
  3. L

    GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    Baadhii tu ni kama yafuatayo: 1. Kugeuza mapori yaliyotumika kwa uhalifu na ujambazi kuwa hifadhi ya taifa ( Burigi; Chato; Ibanda na Lumanyika) 2. Kulipa madeni ya kahawa kwenye vyama vya ushirika. 3. Kukarabati shule za sekondari za Kagemu, Bukoba, Rugambwa na Kahororo. 4. Kujenga shuke mpya...
  4. L

    GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    #JPM2020 #CCM #mitanotena #mitanotenayajpm #achakaziiendelee #achakaziiendeleenajpm
  5. L

    GE2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

    Umeandika kwa mihemko sana. Ngoja nikupe list ya baadhi ya viwanda vilivyofunguliwa na Raisi Magufuli katika kipindi cha miaka mitano iliyopita: 1. Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani 2. Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba...
  6. L

    GE2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

    Swali hili jibu lake simple tu...HAKUNA
  7. L

    GE2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25 kwenye kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi

    Ilani ilosheheni mipango ya maana. Kila sekta imeguswa. Viva CCM
  8. L

    GE2020 Kupitia miundo mbinu iliyojengwa na Serikali ya Magufuli, CHADEMA wanafanyia kampeni

    Utopolo ni kudhani unajua kumbe hujui. Halafu unajichanganya kishenzi yaani. Ok tuanze na paragraph yako ya mwisho kwenye reply; eti hao watumishi wa umma ulosema wanajenga miundombinu wanajenga kwa kufuata maelekezo ya nani? Serikali iliyopo madarakani ndio inatoa maelekezo. Chama kilichopo...
  9. L

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Ndugu zangu, Nawatakia asubuhi njema, Kama ilivyo ada yetu ya kuangazia mambo kadhaa yanayohusu mwenendo wa Kampeni zetu leo nitafanya tathmini fupi ya robo ya mzunguko wa Kampeni. Nitazungumza katika namna ya Ulinganifu katika maeneo yafuatayo; Hoja za Wagombea; Kwa uchache wa muda leo...
  10. L

    Usahihi kuhusu UVCCM: Viongozi wa CHADEMA wananufaika na uzushi wa wafuasi wao

    Umejiunga jamiiforums tarehe 19 August 2016, takribani siku 40 kutoka leo...tayari umeshajua nani analipwa na nani halipwi..tuliza kipira kijana, walioingia kwa spidi nyingi kama hivyo wengi wapo maternity hivi sasa.
Back
Top Bottom