Recent content by Lukunbuko Kimango

  1. L

    January Makamba amnanga mzee Mengi baada ya kumsifu Magufuli, adai vyombo vyake vilikuwa upande wa pili

    Mnataka mengi afanye niñi Mheshimiwa Alisema muda wa siasa umeisha sasa kama ww unaanza kusema mapungufu ya mengi ya kwako yako wapi?. Maisha kama unataka Cheo Omba tu lakn hatutaki kuchafua watu ndio maana ya upinzani. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Mpenzi wangu kanisingizia nimemuibia

    Hongera sana kwa kuwa wengi wetu hatujui neno nisamehe na kujishuka fuatilia then expro what is beyond the reality?.
  3. L

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Inasikitisha Askari kumtishia Raia inasikitisha tunako kwenda siyo kuzuri, kama wanaopaswa kutulinda ndo wanao tutisha na siraha nasikitika sana, Dar es salaam si salama kwa kweli, MUNGU ibariki Tanzania. Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom