Waulize PAC..nyie si mnalishwa sumu na mnameza...hakuna cha viroba wala sandarusi ..fiksi za PAC tu na tatizo la watz badala ya kuwauliza PAC evidence mnakimbilia kupiga kelele tu..
Sasa uongo wa PAC hadharani......Na wananchi tusome vizuri report ya CAG sio kumsikiliza Zitto na waongo wenzake.Wabunge walichangia kwa jazba bila hata kusomareport ya CAG. Yeyote atakayesoma report ya CAD kwa makini bila jazba wala kuwa na conclusions kichwani atagundua unafiki wa wajumbe wa...
Ni utani hata ukiangalia punctuation ya """. Nashangaa watu wanapanic...Utani ni kama vile mtu kakushinda kitu then unajoke kuwa say aah mmebebwa something like that..Watu wamepanic wameichukulia kivingine
Hilo swali muulize mwenyekiti wako wa PAC napia soma statement ya Mkombozi wamesema wazi walipokea TISS ya73Billio toka STANBIC bank acc ya PAP kumlipaRugge kama malipo ya mauzo ya hisa.PAC wanasema billion73 zilitoka cash.....uwongo nandio mana they will never give u names....hayapo kwa kuwa...
Ndio nakwambia kaka mlidanganywa ili mkasirike mkisikia viroba...kwani ulipewa majina ya hao walochukua kwenye viroba?Muulize Zitto kama anaweza kukutajia...hawapo i..ukweli pesa za Ruge zilitumwa kwa TISS Mkombozikwa mujibuwa statement ya Mkombozi. Tatizo watu wanaambiwa jambo wanameza kama...
Ukweli ni kwamba hakuna fedha zozote zilichotwa Stanbic ...ilikuwa chumvi za PAC.Stay tuned watu wataumbuka kwa kumislead taifa Zima in a national TV na bunge likafanya mobjustice...Si mliambiwa uchunguzi haujaisha....
PAC walidanganya.Bilioni 73 zilitumwa kwa TISS kwenda kwa account ya RUgemalira MKombozi benki kama sehemu ya mauzo yake kwa PAP.Mkombozi wameshatoa statement juu ya hili.Hakuna cha viroba wala rumbesa ilikuwa ni kuboresha a lie
Kama taifa Zima na bunge wameburuzwa kwa upotoshaji wa PAC itashindikana vipi kwa watu 24. Ni uongo uliopangiliwa ila siku kweli ikidhihirika uongo utajitenga. Tatizo kubwa ni watu kureason kwa emotions nakuttokuwa objective. Mf waliulize PAC hiyo story fake ya pesa zaviroba. Pia wambie walete...
Hivi serikali ikrudi ikasema yafuatayo itakuaje:
1. Baada ya uchunguzii wa kina imegundulika kuwa sehemu kubwa ya pesa ya ESCRO haikuwa ya UMMA , sehemu iliyokuwa ya UMMA ambayo ni kodi Billion 21 imekusanywa.(Kumbuka Pinda kasema it is not yet clear kama ni za umma)
2.Uchunguzi wa kina wa...
Uko sahihi kabisa... watu wanatumia jazba badala ya kureason out. Issue ndogo tu kwa mfano wanadanganywa watu walibeba viroba billion 73.Benki husika zinasema hakukuwa na virobal na pesa iihamishwa kwa TISS kwenda account yaRugemaira benki ya mkombozi kama sehemu ya mauzoyahisa zake. Lakini...
Report ya PAC imejaa ushabiki ..time will tell... Kwa mfano hakukuwa na cash withdrawal ya 73billion. Ukweli ni kuwa sehemu ya mlipo yaRuge (73Billion) yalihamishiwa Mkombozi kwa TISS according t Mkombozi statment. Issue ya viroba na rumbesa ni uongo uliowekwa kuasha jazba za watu>>Na kwa kuwa...
Bunge wanaambiwa watu walibeba hela kwenye viroba badala ya kuhoji ushahidi wa hilo wanapanic na kuanza jazba.Haya sasa Mkombozi wanasema actually ilikuwa ni TISS payment ya 73Billion from Stanbic to Mkombozi wakati Ruge analipwa. Wabunge badala ya kuwa objective na kuhoji wanakuwa emotional na...
My take is siku ukweli wote wa jambo hili utakapowekwa wazi ...watu wote tutashangaa ilikuwaje ? Na nahisi Kikwete atakuja fafanua halafu kila mtu ataonekana wa ajabu. Ukisoma taarifa ya Mkombozi wanasema walipokea 73Billion kwa njia ya TISS kutoka Stanbic... Kina Zitto wanasema watu walibeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.