Je, ni keli Kenya/Uganda wako nyuma yetu kimaendeleo!?
Maana kwao achana na kesi za mahakamani, hata interview za vetting za majaji zinakuwa live lwenye tv/mitandao yote!
"wananchi should be royal to the government"
"wananchi should be royal to the JUST government"
...ainisha utofauti wa hizi sentensi mbili. Ujinga hautafutwi bali tunatafuta elimu/uelewa
Huku mtaani kuna watu wana pesa nyini sana, ila wajuzi wanadai "pesa ziko mikononi mwa watu wasiostahili".
Angalizo la pili pia nalo lafanana nalo, ubunge ni madaraka makubwa sana ila ni wazi madaraka yameachiwa kwa watu wasiostahili!
Tulizoea mbunge akiomba kutoa taarifa labda anesema sheria au...
Watz kwa hakika ni watu wenye umoja sana, lakini kwa umoja wa kijinga na roho mbaya kama hii basi bora utengano dhidi ya huu umoja fake!
"Kila kura inayopigwa kuhesabiwa, ukweli, haki na uwazi wakati wa uchaguzi" ....kuna ubaya au dhambi gani katika haya!?
Je, si ndio haya anayoyapigania Tundu...
Nakumbuka wakati wa Mzee Mkapa hali ilikuwa ngumu sana lakini kwa msaada wa mdahalo wa wazi watu walipata kujua umuhimu na uwezo wa kiongozi kwa masaa machache tu.
Wakati tukitafuta suluhisho la matatizo yetu pia tukumbuke aliyeondoa midahalo ya wagombea kama mchawi wetu!
Nafikiri wazoefu...
Huyu jamaa katuni sake ni zaidi ya miaka 30 na cha ajabu zinakuwaga na unabii flani maana kuna zingine za miaka zaidi ya 15 ukiziangalia leo ndio unagundua ukweli wake. Hii nayo ni kama ya kaunabii fulani hivi!
Sasa sijui wanakuhisi vipi!?
Ndio maana lockdown au hata isingekuwa hiyo basi kufanya restriction ili pale tu alipojulikana mtu wa kwanza ndipo tracing ingeanzia.
Sasa ndio tumeshachelewa lakini haina maana ndio tujiachie na kufa sote, hapana tuanzie hapahapa tulipo na kwa vile uwezo tayari ni...
Mwezi mmoja uliopita (siku kama ya leo mwezi jana) athari za hili janga zilikuwa zinalinganishwa na vita kuu ya pili ya dunia, Mwezi mmoja baadae wanasema huenda athari zake zinapita za WW2 ikiwa na maana kuwa katika watu wote tunaoishi sasa hakuna hata mmoja aliwahi kufanya hata simulation ya...
Naona wanaopinga wanasema Rwanda na Kenya wameweka lockdown lakini wangonjwa wanaongezeka.
Na kwa vile wengi wanamini katika hizi propaganda na kutokuelewa huenda ikatupelekea kwenye janga zaidi maana hawajui kuwa idadi ya testing iliyofanyika katika nchi hizo tukiifikia sisi idadi ya case ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.