Recent content by Lukeman Josman

  1. L

    Majina ya waliochaguliwa kwenda Chuo Kikuu yanatoka lini?

    Kuna ka homa fulani hivi huwa kanatokea nyakati kama hizi 😄😄😄
  2. L

    Majina ya waliochaguliwa kwenda Chuo Kikuu yanatoka lini?

    Hata Application Status kwenye dashboard hazijabadilika chochote kwa yeyote ?
  3. L

    Majina ya waliochaguliwa kwenda Chuo Kikuu yanatoka lini?

    Muda mwingine systems huwa zinawahi kutoa feedback kwenye dashboard kabla ya ule mkeka wa chuo husika au pdf ya tcu .
  4. L

    Nataka kusoma Diploma niache degree

    Malizia hiyo degree unayosoma kwanza kama upo ukingoni yaani mwaka au miaka 2 kabla ya kumaliza then baadae ndio ufanye unachotaka kufanya huwezi kujua hiyo degree unayotaka kuiacha kwa sasa yawezekana ndio ikakupa deal siku za hivi karibuni. Komaa nayo kwanza haya mambo hayatabiriki unaweza...
  5. L

    Majina ya waliochaguliwa kwenda Chuo Kikuu yanatoka lini?

    Application status zikoje ? Kwenye akaunti ?
  6. L

    Majina ya waliochaguliwa kwenda Chuo Kikuu yanatoka lini?

    Vipi akaunti za application hazijaanza kusema chochote kuhusu Application status ? Maana kesho ndio kesho 22/08 .
  7. L

    Medicine na pharmacy ipi inalipa zaidi?

    Kwa ulimwengu wa sasa na Tanzania yetu ukifuata stori za kozi gani inalipa na ina maslahi unaweza kuja kujialaumu baadae . Soma kitu ambacho utakimudu, Una passion nacho na hautakuja kujutia baadae. Nashauri uusikilize moyo wako unataka nini baada ya hapo soma hicho kitu halafu namna ya...
  8. L

    Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

    Hata UGANDA nasikia kuna vyuo viko vizuri kama Makerere na vingine.
  9. L

    Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

    Duuh! Hii ni shida wenye 3+ hawajafika 4.4+ watafanyaje sasa ? Au ndo imeisha hivyo ?
  10. L

    Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

    Hii ya kufanya application physically inaweza kusaidia pengine ? Au kuna chances za upigaji tu.
  11. L

    Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

    Duuh ! Hii kitu ni changamoto kwa wengi kumbe.
  12. L

    Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

    Sisi ni wananchi wa kawaida uwezo wa Kairuki hatuna ndugu.
Back
Top Bottom