Recent content by lukelo sakafu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu: Kitengo cha oparesheni Muhimbili hospital kimulikwe

    nawaombeni samahani kitengo cha oparesheni mhimbili kwa usumbufu wowote uliojitokeza hapa. samahanini sana mhimbili nikwamba nilipindisha maneno kwa kutojua taratibu za utoaji matibabu kwa kadi za bima. nilikosea kupost mada yangu.nawaombeni samahani sana management yote mhimbili hospital.kosa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu: Kitengo cha oparesheni Muhimbili hospital kimulikwe

    mkuu,hippocratess nashukuru kwa kunielewesha vizuri na kwa ufafanuzi mzuri sana ni kwamba tulikua na kadi ya BIMA, kutokana na maelezo yako nakubaliana nawe na nadhubutu kusema kuwa upo right na kwamba kumbe hakuna makosa. nasema kuwa nasema upya kwamba mhimbili hospital ya taifa ni sehemu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Inakuaje unafunikwa na mtu uliyemshirikisha kwenye wimbo wako?

    woyoooooooooooh! mkuu nakupa 5 kwa kusema ukweli halisi,jamaa kafunikwa mbaya mbovu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki maarufu kanitapeli 80,000/=

    mkuu kwani mond kasafiri?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tuzo za KORA zimerudi, safari hii kumwaga mkwanja kwa washindi

    mkwanja wote atachukua K 4 REAL
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki maarufu kanitapeli 80,000/=

    jamani mwambieni mond akalipe deni la watu.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki maarufu kanitapeli 80,000/=

    mkuu umetumwa au?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Inakuaje unafunikwa na mtu uliyemshirikisha kwenye wimbo wako?

    k 4 real
  9. L

    JamiiForums Tanzania Inakuaje unafunikwa na mtu uliyemshirikisha kwenye wimbo wako?

    mkuu ukweli unauma sana
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tunamiliki gari ili kupata unafuu wa maisha au kujitwika umasikini?

    mkuu hapo kidogo umenifumbua macho kwa kweli hapa dar kumiliki usafiri ni shidaa, hapo ulipe kodi ya pango, utoe ada za watoto, ununue chakula. hatari bana
  11. L

    JamiiForums Tanzania Inakuaje unafunikwa na mtu uliyemshirikisha kwenye wimbo wako?

    hivyo hivyo lakini ujumbe umefika
  12. L

    JamiiForums Tanzania Inakuaje unafunikwa na mtu uliyemshirikisha kwenye wimbo wako?

    mkuu sisi tunajihamini sana na hatuna haja ya kuzunguka kote uko kutafuta kiki, ukiona mtu anazunguka kote uko jua hajiamini na mwoga mwoga sana kama mond
Back
Top Bottom