Premio ni nzuri, japo allion ni version ya premio kwa UK nadhani. Asa ukija ktk reality premio ina perfomance nzuri, fuel consumption sio mbaya, ina shape nzuri, stability iko poa kuliko allion, ina room kubwa. So just go for the premio. Na unapokwama usisite kununua Allion kwasababu ni karibia...