baba_la_kichaga
Senior Member
- May 15, 2017
- 127
- 53
Habari za asubuhi wakuu! naomba kujua faida za kufunga turbo ktk gari ya ndogo kuna rafiki yangu ananisihi nifanye hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe unaelewa unachosema. Kufunga engine ya Subaru iliyo na turbo tayari unafananisha na kuongezea turbo?Ni wazo zuri mkuu lakini hujasema ni gari aina gani na linatumia engine gani pia.
Je unataka kufunga hivyo kwaajili ya fan or ? Maana sio bei rahisi kufanya hiyo modification.
Mm mwenyewe na mpango wa kufunga engine ya subaru wrx kwenye vw combi mgongo wa chura.
Zungumzia ni gari gani unataka kumount turbo. Turbo inaweza wekwa kwenye gari yoyote sasa muhimu ni kujua ni engine gani unatumia. kama na natural aspirated engines kuna uwezekano wa mabadiliko mengi unapotaka kuweka turbo, kwanza upate full kit ya turbo (turbo, intercooler na plumbing zote), ubadili ECU system, ubadili cylinderhead, ubadili pistons na exhaust system pia lazima ibadilishwe.Na kuna gari nyingine engine inaweza handle turbo ndogo kwa urahisi bila mabadiliko ya pistons na cylinderhead.Habari za asubuhi wakuu! naomba kujua faida za kufunga turbo ktk gari ya ndogo kuna rafiki yangu ananisihi nifanye hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ni 1st kakaZungumzia ni gari gani unataka kumount turbo. Turbo inaweza wekwa kwenye gari yoyote sasa muhimu ni kujua ni engine gani unatumia. kama na natural aspirated engines kuna uwezekano wa mabadiliko mengi unapotaka kuweka turbo, kwanza upate full kit ya turbo (turbo, intercooler na plumbing zote), ubadili ECU system, ubadili cylinderhead, ubadili pistons na exhaust system pia lazima ibadilishwe.Na kuna gari nyingine engine inaweza handle turbo ndogo kwa urahisi bila mabadiliko ya pistons na cylinderhead.
Tunapofahamu ni engine gani unatumia ndo unaweza pata ushauri either ufanye kuswap engine ufunge yenye turbo au ufunge turbo kwenye hiyo engine yako iliyopo.
Ww ndio imekuwa seriously na jamaa Lakin jamaa amejokeKweli wewe unaelewa unachosema. Kufunga engine ya Subaru iliyo na turbo tayari unafananisha na kuongezea turbo?
Na kwa hiyo combi yako umejiuliza utaismamisha vipi baada ya hiyo kasi na nguvu yote unayoongeza?
Mbwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha masihara wewe!!!!! Si Bora kuiuza na kununua Glanza starlet gari ipo vizuri Sana Ile....
First ni gari gani boss?
Toyota 1st kakaFirst ni gari gani boss?
In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
itakukost pesa ndefu sana. Chamsingi ni kununua engine either ya starlet glanza V au vits RS ambazo ni turbo charged tayari na kuifunga hapo itakua nafuu.
kweliVipi baba
Turbo sio kama spotlight ambayo utaongezea kw gari ukitaka - au rafiki akikusihi.
Turbo lazima ihusishe mifumo mingine ya engine kama vile
- fuel system: kuongeza kiasi cha mafuta kulingana na ongezeko la kiasi cha hewa kwenye BOOST
- exhaust: ili kudhibiti kasi ya kutoka kwa moshi na kuzuia backfire ukiachia mafuta
- valve train: valve lazima ziboreshwe ili kuhimili joto la juu zaidi; camshaft lazima iwe inaendana na mfumo wa turbo
- cylinder head: kiasi cha joto lazima kishughulikiwe vizuri ili kuzuia gasket failure, head warping au hata valve meltdown
Kuna mengi ya kufanywa ili gari liwe gari na sio janga. Boss si ununue yenye turbo tu - na huyo rafiki yako mwambie awache mirungi!
Sent using Jamii Forums mobile app