Recent content by lukaminde

  1. L

    JamiiForums Tanzania Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

    hali halisi hii hapa mwanza siyo unaongea ongea tu. alokupa taarifa mwambie pia akulipe kwa kujiabisha.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

    Kijana utasutwa. Kazomewa itakuwa umemzomea wewe na mama yako.Kama anvyosema Le Mutuzi ukiongea lazma uongee na fact na evidence sio kuzusha mambo kisa unajua kutype. hali halisi ni hiyo hapa mjini mwanza.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

    tupe ushahidi siyo unaanzisha tu rumours
  4. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli, mtoto akililia wembe mpe, UKAWA mtakipata mnachokitaka

    Nawaomba mnieleweshe kitu kimoja, ni kitu gani kimebadilika kati ya upinzani ya mwaka jana na upanzani ya sasa? Lowassa ndiyo yule yule walikuwa wanamuita fisadi papa na alikuwa kwenye list of shame ambayo iliandikwa na Tundu Lissu. Lowassa ndiyo mkali wa kutengeneza hierarchy za uongozi zisizo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Wakati watanzania wameaminishwa kuwa hela ya Tegeta Escrow Account ni za serikali,wajanja wachache wachota mabilioni ya shilingi za kitanzania kiulaini. Taarifa zilizovuja kutoka vyanzo vya uhakika vinaelezea kuwa uhusiano wa Singh na washirika wa Lowassa ulianza wakati wa kampeni za uchaguzi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

    1.0. Libya ni moja kati ya nchi wafadhili wa Tanzania ambapo, kama ilivyo wafadhili wengineimekuwa ikiipa nchi yetu misaada na mikopo yenye masharti nafuu. Serikali yetu imekuwa ikifanya taratibu mbalimbali kulipa madeni ya nchi wafadhili kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Bernard Membe

    sasa wewe unataka rais awe kadinali Pengo au Mufti? Serikali haina dini. na sio kila mtu anaabudu kwa imani yako, Tanzania ina Watanzania karibu milioni 50 na kila mtu ana uhuru wake wa kuabudu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Bernard Membe

    Wewe ni mfuata mkumbo..mizimu ni asili yetu..Watanzania waishio vijijini bado wanafwanafanya matambiko.ni urithi wetu na ni asili yetu huwezi kukwepa..au kwa sababu tumeletewa dini na waarabu na wazungu ndio unaamini hizo ndio bora...kama wewe ungezaliwa India basi its likely ungekuwa unaabudu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Bernard Membe

    Nadhani unamaanisha anashindwa kusema kile unachotaka kukisikia wewe..mind you huyu anataka kuwaongoza WaTanzania sio peke yako na ukisema ameshindwa kujenga hoja out of blue inadhihirisha unafiki wako
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro yavunja rekodi ya udhamini kwa mh. Lowassa, wanaccm 33,780 wamdhamini

    Tuliopo Moshi tunajua kila kitu jinsi hao wadhamini walivyotafutwa.Wafuasi wa Lowassa wamegawa kadi zaidi ya 20,000 kwa wanachama feki wa CCM ili wadhamini Lowassa. Humo kuna wafuasi wa vyama vyote waliochukua kadi kwa malipo wakiwemo Red Brigade wa CHADEMA 150.Ujio wa Lowassa Moshi umetangazwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Aliyempigia debe Uhuru apata kandarasi ya mgombea wa Tanzania

    Hahaha, Mwaka huu tutaona mengi. Fina Mango kazi imemshinda? Siasa is pure Mathematics hizo pesa unazochezea ungetuongezea MB.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    "Lowassa anapodai ushahidi wa kauli ya Mwl.Nyerere kumkataa mwaka 1995 anapaswa ajue kuwa naye anapaswa atoe ushahidi wa kauli ya Mwl.Nyerere akimsifu kuwa yeye ni kiongozi bora na msafi.Akithibitisha hili sisi familia tutatoa ushahidi wa kauli ya Mwl.Nyerere akimkataa kuwa yeye sio kiongozi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Membe katoa wapi fedha za kuzunguka Mikoani kutafuta wadhamini kwa ndege binafsi?

    Huyo hamjamuona? Yutong mpyaa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tumpe Lowassa au Magufuli kwa sababu zifuatazo

    duh hii kali na ni ngumu sana kumeza...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Membe: Nikikatwa jina nitakuwa wa Mwandosya

    Membe kaweka maslahi ya chama chake mbele na amekubali kuwa mshindani, Richmond ameweka maslahi yake mbele kwamba hawezi kushindwa.
Back
Top Bottom