Elimu yetu inapitia changamoto nyingi. Tumuombe Mungu aweke watendaji wenye maono mazuri juu ya nchi yetu na elimu yetu. Vinginevyo ubora wa elimu utaendelea kuporomoka.
Uhamisho unapatikana kwa kuomba nafasi au kubadilishana na mtu katika halmashauli husika. Kama mwalimu aliomba nafasi akapewa au akabadilishana na mtu inakuaje Tamisemi mnatoa taarifa kuwa Dar imejaa? Ndiyo maana tunasema kuna vikwazo kandamizi kwa walimu wanaotaka kuhama vituo vyao vya kazi kwa...
Tamisemi kuna watumishi waliomba kuhamia Dar toka 2016 kwa kufuata taratibu zote zinazotakiwa hamkutoa vibali vyao .Lakini kuna watumishi wameomba mwaka 2017 tayari wamehamia Dar. Sasa hivi mtoa taarifa kuwa Dar hakuna nafasi. Jaribuni kutenda haki kwa watumishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.