Recent content by Luiza Gama

  1. L

    Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

    Uko sahihi kabisa, JF pia wameupuuza msiba, members wanasoma na kuondoka bila kujadili kwa kina. Ilitakiwa akina Mohammed said kuja kutoa promo za mwisho, kwani muda wote Mohammed said and Co. walikuwa wanataka Ally amilikiwe na kundi fulani tu la imani na kusahau kuwa ni mtu wa wote...
  2. L

    Hongera Mama Dr Mwaikambo kwa kusema ukweli!

    pia nilimsikia Prof Mwaikambo akisema TUZO aliyopewa sio yake bali ni ya wanawake wote wa Tanzania
  3. L

    Hongera Mama Dr Mwaikambo kwa kusema ukweli!

    Prof Mwaikambo ni mfano wa kuigwa katika fani ya tiba nchini ameokoa maisha ya watanzania wengi, amefundisha madaktari wengi na ameponya watoto wengi enzi hizo nchi ilikuwa na madakatari wachache wa watoto yeye akiwa mmoja wao.Amefanya tafiti nyingi za tiba ambazo kwa sasa ni nyenzo kwa...
  4. L

    Zitto Kabwe akerwa na members wa JF kujadili mauaji ya kidini

    ZITTO utakuwa si mwanasiasa makini kama unataka kuifunga mdomo JF kujadini dini wakati vyombo vingine hujavikemea lakini pia Rais aliwahi kuliweka wazi swala la udini katika uchaguzi wa 2010. Kauli ya Rais inaashiria kuwa Udini ni suala la kitaifa tuwekane sawa kabla hatujaungua na moto...
  5. L

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Naamini Uislamu hauwezi kujifunza chochote kwenye Ukristo na Ukristo hawezi kujifunza chochote kwenye Uislamu. NI dini mbili tofauti zinazoabudu Mungu tofauti na Mitume tofauti. Utajifunza nini kwa kitu ambacho hukiamini? Tunachoweza kujifunza kutoka dini nyingine ni kupata tafsiri sahihi ya...
  6. L

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Kazimoto kazi yako MOTO umesaidia sana kufafanua hilo fumbo la imani ukurasa wa 39 threads namba 777, 778,779 na 780
  7. L

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Tukisema Mtume Mohammed alikuwa mzinzi na Malaya tu wa pale makha na YESU sio Mungu ndio kutangaza dini? Hakuna ambaye hana tusi kwa imani nyingine kama akiamua. Ukiona mtu kaacha kutangaza dini yake na kuanza kutangaza ya mwingine ni dalili kwamba anaabudu dini dhaifu.
  8. L

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Mafumbo ya imani yako mengi kwa mfano. dini zote zinakiri kuwa Mungu aliumba mwanaume mmoja na mwanamke mmoja lakini baada ya miaka mingi kupita Mungu huyo huyo anatambua kuwa alikosea kuumba mume na mke mmoja anaanza tena kuruhusu kuoa wake wengi. Hii ina maana kwamba kumbe hata Mungu...
  9. L

    Je, Mradi wa KIGAMBONI ndio GESI yao?

    Kazimoto uko sahihi. Kigamboni wanajifunza kitu Mtwara busara inazidi kuwa bidhaa adimu kwenye tunu za taifa, kushirikisha wananchi ni muhimu sana. Likianza la Kigamboni Vyama vya upinzani vitadandia kama la Mtwara, wanasubiri kwa hamu. Huko Kigamboni kuna wanaJeshi wengi waliojenga nafikiri...
  10. L

    Radio Imaani yaishambulia tena JamiiForums, wadai Idd Amin alikuwa 'Mtu makini'...

    Hata mimi sipendi kejeri ndio maana niko hapa najenga hoja
  11. L

    Radio Imaani yaishambulia tena JamiiForums, wadai Idd Amin alikuwa 'Mtu makini'...

    Mkuu, umesahau pesa za serikali za kuandaa futari sehemu mbalimbali nchini na Islamic banking na chuo cha TANESCO morogoro.
  12. L

    Radio Imaani yaishambulia tena JamiiForums, wadai Idd Amin alikuwa 'Mtu makini'...

    Serikali ndio ianze kurudisha hasara iliyosababisha tangu ilipotaifisha shule na hospitali za kanisa ndipo na kanisa litarudisha zao. Kumbuka serikali ilirushe na faida ya kanisa iliyopotea tangu utaifishaji.
  13. L

    Radio Imaani yaishambulia tena JamiiForums, wadai Idd Amin alikuwa 'Mtu makini'...

    Basi na balozi za nchi zote za Kiisalmu itabidi zifunge virago.... nani atakuwa Loser? Waislamu wana nchi nyingi za kiislamu zinazopeperusha Bendera lakini Vatican imekuwa kero kwao?
  14. L

    Radio Imaani yaishambulia tena JamiiForums, wadai Idd Amin alikuwa 'Mtu makini'...

    Kukimbia mada kwa sababu watu hawajengi hoja si hoja. Hekima unayo lakini ungetumia weredi wako kujenga hoja ili kupambana na wasio jenga hoja.
  15. L

    Radio Imaani yaishambulia tena JamiiForums, wadai Idd Amin alikuwa 'Mtu makini'...

    wakristo kukosa utaratibu haina maana watumie kuchinja kwa ibada ya Mungu mwingine ni kosa kidini kumchinja mnyama kwa jina la Mtume Mohammed na Allah wakati hao sio wao.
Back
Top Bottom