Wakuu naomba kwa yeyote aliye na kitabu au Pamplet lenye muunganiko wa Notes zote za advanced Mathematics kwa pamoja anisaidie hata kama anauza ntanunua! Au aniPM
Baridi ipo ila kuanzia mwez wa 5-7 ndo inakuwepo,, miezi mingine ni hali ya kawaida tu!! Pale hata kama unatokea mikoa ya joto unaweza kuishi vizur kabisa!
Binafsi nmesoma shule ya sec tosamaganga IPO juu kiliman ukismama pale , kwa chini utaona sehem inaitwa IPAMBA utaona hospital kubwa saana inatwa TOSAMAGANGA DDH HOSPITAL pembezoni ndipo kilipo chuo cha afya tosamaganga,, chuo pamoja na hospital vinamilikwa na kanisa katoliki mazingira Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.