Recent content by luhongenzo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa hajakurupuka kurudi CCM, namuunga mkono 100%

    Nakukubali sana rose wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni hawatatetereka milele yote Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu umetusaliti Waafrika wenzio

    Umetumia muda wako vibaya kuandika upuuzi kama huu jambo moja nakupongeza ulikua bingwa wa kukariri histori ulipokua form two Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye ujasiri wa kumtukana Kiongozi wa Nchi!

    Ni vema ukaweka hadharani matusi gani aliotukanwa kiongozi wa nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Kuichafua Tanzania ni kuwachafua Watanzania

    Hata ningekua mimi tundu lisu ningetanguliza maslahi yangu kwanza mateso alopata hakuna wa kumlazimisha serikari ilizuia asiombewe watu tulikamatwa kwa ajili ya kumuombea halafu maslahi maslahi haiwezekani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nitawasweka ndani viongozi wa siasa wanaowakejeli viongozi wa dini mitandaoni; aagiza barabara moja jijini iitwe Kardinali Pengo!

    Utawasweka watu milele yanamwisho hayo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    JamiiForums Tanzania La Mbowe limewashinda,la CAG mtaliweza wapi enyi wanafiki?!

    Tunaheshimu utawala wa sheria Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sishauri sana Rais Magufuli awe ana 'disclose' mara kwa mara 'findings' za TISS publicly kwani anawaharibia

    Atasifiwaje na wakulima na wafanzyakazi kama hatawambia maujuzi aliyotumia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    JamiiForums Tanzania La Mbowe limewashinda,la CAG mtaliweza wapi enyi wanafiki?!

    Ujizaniae umesimama angalia usianguke Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    JamiiForums Tanzania Vitabu nilivyosoma mwaka 2018 – Zitto Kabwe

    Nakupenda sana zitto zuberi kabwe mbunge mungu akuongoze ktk hekima ujasiri weledi ktk kutuunganisha wapinzani ili hatimaye tuushinde udikteta zitto una moyo wa watoto wadogo wa kusamehe na kusahau pale mzazi akikuchapa ubarikiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    JamiiForums Tanzania Elly Kingu utaificha wapi sura yako?

    Kitu ambacho hawa vijana wa ccm wamejaliwa hawana sura za aibu sasa hivi mtayaona yanavyopongeza njaa sio mchezo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Christmass kutoka kwa Lukuvi kanisani St.Theresa

    Hakuzungumzia jinsi alivyomkaba yule jamaa na kuchukua milioni 90
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, msamehe Mh. Mnyika bure ni utoto tu

    Sema unataka u dc au u rc
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, msamehe Mh. Mnyika bure ni utoto tu

    Ni vema akianza kukusamehe wewe kwa uzee uliokosa busara nahekima na kutojitambua acha kutumia visigino kufikiri
  14. L

    JamiiForums Tanzania Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Unafikiri wote wana akili kama zako
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mahabusu itampa Mbowe muda wa kujitafakari na kututafakari kuhusu kustaafu Uenyekiti wa CHADEMA

    Tafuta kazi nyingine hii ya mbowe umefeli nenda grocery
Back
Top Bottom