Acha kulalamika sema sera zako ukichaguliwa utafanya nini. Inafikia hatua kwenye uchaguzi mawakala wa CDM hawapelekewi chakula. Wenzetu mawakala wa CCM asubuhi wanaletewa supu mchana wanaletewa pilau. Ila unachojua kuruka na CHOPA huku wanaolinda kura zisiibiwe wana njaa.TL yeye amesema...
Mimi binafsi nimemuelewa lissu kama ifauatavyo> 1.Hakuna hata sehemu aliyoambiwa yeye ni mwizi 2.hakuna hata sehemu aliyoambiwa yeye mubadhirifu wa mali ya umma
Kazi ilikuwa ndogo Mh; MBOWE kutangaza kumuunga mkono TUNDU LISSU kazi kwisha. Ila sasa MBOWE anajiona hakuna kiongozi mwingine wakuweza kuongeza chadema bila yeye ni tatizo. Sisi huku uswazi tunakosana na watu wa CCM kuitetea CDM kumbe CDM ni ya mtu binafsi amejimilikisha tayari.
Namuunga mkono TUNDU LISSU kwa asilimia zote 100% kuna, mpinzani wa kweli vs nusu mkate. nusu mkate hana cha kupoteza iwe jua au mvua anautaka tena uenyekiti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.